Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Sio rahisi kihivyo mzee, mimi kidogo Tot siwaogopi ila Liver na Man U nawapa heshima yao lolote linaweza kutokea
Eeeh Aguero mtu wewe hana tofauti na David Silva viwango vyao vinacheza mule mule miaka yoteepl ni mpera mpera hakuna kutulia kwenye kiti😀😀 ila aguero hii lig kaiwezea wengene kasi inawashinda wanaanza vizur msimu wa 3 au nne chali but huyu jamaaa tangu kaza top four kila msim hakosi
Kuna timu hutakiwi kuzitamani kukutana nazo mkuu mojawapo ni Barca, hao jamaa sio watu wazuri. Tuombe Mungu tukutane na timu tunayoweza kuimudu vizuri ili tuvuke hatua inayofuata
PSG hakuna timu pale lile ni genge la wahuni tuIla safari ya manure inahesabika.
Unajua wale jamaa psg sijui wanakosa nn kila wakat
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tutakuja kuona.Huyo jamaa ndo kaanza kufatilia mpira hivi karibuni, hajui kama UEFA ni stage tofauti na ligi hata kama mko ligi moja.
Chukulia mfano wa Real na Atletico, kwenye ligi ilikuwa Atletico anashinda, wakikutana UEFA ni case tofauti kabisa.
Ngoja mkuu itakuja kuona kama man c akipangwa na hao man labda useme liver, ni mgumu kumfunga nje ndanHuyo jamaa ndo kaanza kufatilia mpira hivi karibuni, hajui kama UEFA ni stage tofauti na ligi hata kama mko ligi moja.
Chukulia mfano wa Real na Atletico, kwenye ligi ilikuwa Atletico anashinda, wakikutana UEFA ni case tofauti kabisa.
Hahahah kwamba wangekua wanamvunja sana? Sema yule nae mti mkavu huwa haumii hovyoNajua messi alijibu hivyo alipoulizwa.
Ila asingetamba sana kwa majeraha ya epl
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza ikawa ni kweli.PSG hakuna timu pale lile ni genge la wahuni tu
Kwangu mimi barca na man c viwango ni vile vile tu.Kuna timu hutakiwi kuzitamani kukutana nazo mkuu mojawapo ni Barca, hao jamaa sio watu wazuri. Tuombe Mungu tukutane na timu tunayoweza kuimudu vizuri ili tuvuke hatua inayofuata
Ukitaka kujua kama ataiweza au hawezi angalia takwimu zake akikutana na timu za EPL
Kuna vitu vingine inatakiwa tuongee uhalisia bila kuhusisha mapenzi au ushabiki wa timu zetu, hii michuano bhana mimi naiheshimu sanaaa maana najua jinsi gani tunaangaika kufika ata nusu fainalHuyo jamaa ndo kaanza kufatilia mpira hivi karibuni, hajui kama UEFA ni stage tofauti na ligi hata kama mko ligi moja.
Chukulia mfano wa Real na Atletico, kwenye ligi ilikuwa Atletico anashinda, wakikutana UEFA ni case tofauti kabisa.
Braza ngoja waje tu nataka fernandinho asikosekanw na fundi mwenyewe de bryn.hua nawaza sana barca akutane na mshike mshike wa sane,aguero and sterling afu pale kati jambazi sugu mwenyewe fernandinho bila kumsaha macho 12 de bruyne itakua ni zaid ya burudan
Ni kweli kuna tofauti kati ya top 3mkuu tatizo sio tim za epl shidah washindani wa epl
OMG...
Sure burudani itakuwepohua nawaza sana barca akutane na mshike mshike wa sane,aguero and sterling afu pale kati jambazi sugu mwenyewe fernandinho bila kumsaha macho 12 de bruyne itakua ni zaid ya burudan
[emoji1] [emoji3] mkuu haupo pamoja nasiOMG...
Unatania au unamaanisha mkuu?
Naipenda sana City lakini kwa hii post yako naona umewakosea heshima Barca ata Pep akiiona hii post atashtuka sanaa
Sijakuelewa hapo mkuumkuu tatizo sio tim za epl shidah washindani wa epl