The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sio rahisi kihivyo mzee, mimi kidogo Tot siwaogopi ila Liver na Man U nawapa heshima yao lolote linaweza kutokea

Huyo jamaa ndo kaanza kufatilia mpira hivi karibuni, hajui kama UEFA ni stage tofauti na ligi hata kama mko ligi moja.

Chukulia mfano wa Real na Atletico, kwenye ligi ilikuwa Atletico anashinda, wakikutana UEFA ni case tofauti kabisa.
 
epl ni mpera mpera hakuna kutulia kwenye kiti😀😀 ila aguero hii lig kaiwezea wengene kasi inawashinda wanaanza vizur msimu wa 3 au nne chali but huyu jamaaa tangu kaza top four kila msim hakosi
Eeeh Aguero mtu wewe hana tofauti na David Silva viwango vyao vinacheza mule mule miaka yote
 
Huyo jamaa ndo kaanza kufatilia mpira hivi karibuni, hajui kama UEFA ni stage tofauti na ligi hata kama mko ligi moja.

Chukulia mfano wa Real na Atletico, kwenye ligi ilikuwa Atletico anashinda, wakikutana UEFA ni case tofauti kabisa.
Mkuu tutakuja kuona.
Maana mac anauchu na kombe, historia sio wakati wote ni ya kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ndo kaanza kufatilia mpira hivi karibuni, hajui kama UEFA ni stage tofauti na ligi hata kama mko ligi moja.

Chukulia mfano wa Real na Atletico, kwenye ligi ilikuwa Atletico anashinda, wakikutana UEFA ni case tofauti kabisa.
Ngoja mkuu itakuja kuona kama man c akipangwa na hao man labda useme liver, ni mgumu kumfunga nje ndan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ndo kaanza kufatilia mpira hivi karibuni, hajui kama UEFA ni stage tofauti na ligi hata kama mko ligi moja.

Chukulia mfano wa Real na Atletico, kwenye ligi ilikuwa Atletico anashinda, wakikutana UEFA ni case tofauti kabisa.
Kuna vitu vingine inatakiwa tuongee uhalisia bila kuhusisha mapenzi au ushabiki wa timu zetu, hii michuano bhana mimi naiheshimu sanaaa maana najua jinsi gani tunaangaika kufika ata nusu fainal
 
hua nawaza sana barca akutane na mshike mshike wa sane,aguero and sterling afu pale kati jambazi sugu mwenyewe fernandinho bila kumsaha macho 12 de bruyne itakua ni zaid ya burudan
Braza ngoja waje tu nataka fernandinho asikosekanw na fundi mwenyewe de bryn.
Alaf tuanze kukimbizana. Mpira unabadilika sana watu wamekalia historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom