The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Inasikitisha sana kwa de bryn
Daah jamaa kacheza mech chache sana msimu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli inasikitisha lakina inafurahisha kuona majeraha yake hayajaleta matokeo hasi katika mechi za City, nafurahi kuona jinsi kikosi kilivyo kipana na kila mchezaji ana uwezo wa hali ya juu
 
Kweli inasikitisha lakina inafurahisha kuona majeraha yake hayajaleta matokeo hasi katika mechi za City, nafurahi kuona jinsi kikosi kilivyo kipana na kila mchezaji ana uwezo wa hali ya juu
Msimu huu hajacheza kwenye ubora wake ngoja tuone next seasn.
Na mahrez anamtihan wakuzoea mpira uliotulia. Ametoka kwenye tim ya counter attck

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa kuku wanataka kujutia maombi yao eti wanaomba City.Muwache kutamani vitu msivyo viweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…