Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Tupo pamoja mkuu ila kwa haya mazungumzo hapana kabisa sioni kama kuna uhalisia zaidi tunapeana moyo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamoja mkuu ila kwa haya mazungumzo hapana kabisa sioni kama kuna uhalisia zaidi tunapeana moyo tu
DuuhUkimuacha messi pale tu ndio unashindwa kumlinganisha na mchezaji wa man c.
Ila nje ya hapo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua mechi ya jana imekutishaTupo pamoja mkuu ila kwa haya mazungumzo hapana kabisa sioni kama kuna uhalisia zaidi tunapeana moyo tu
Siwezi kutishwa na matokeo ya 5-1 wakati sisi tumepiga 7-0 ila najaribu kuangalia uhalisia tu Barc Vs City mnaiongelea kama Bunley vs City
Barca inatisha kwel ila na sisi sio wapole sana.Siwezi kutishwa na matokeo ya 5-1 wakati sisi tumepiga 7-0 ila najaribu kuangalia uhalisia tu Barc Vs City mnaiongelea kama Bunley vs City
Inasikitisha sana kwa de brynHahahah kwamba wangekua wanamvunja sana? Sema yule nae mti mkavu huwa haumii hovyo
Kwa hii kauli sawa nakuunga mkono sasaBarca inatisha kwel ila na sisi sio wapole sana.
Wametuzidi baazi ya wachezaji ila mpira unadunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli inasikitisha lakina inafurahisha kuona majeraha yake hayajaleta matokeo hasi katika mechi za City, nafurahi kuona jinsi kikosi kilivyo kipana na kila mchezaji ana uwezo wa hali ya juuInasikitisha sana kwa de bryn
Daah jamaa kacheza mech chache sana msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu huu hajacheza kwenye ubora wake ngoja tuone next seasn.Kweli inasikitisha lakina inafurahisha kuona majeraha yake hayajaleta matokeo hasi katika mechi za City, nafurahi kuona jinsi kikosi kilivyo kipana na kila mchezaji ana uwezo wa hali ya juu
Sure inabidi tumpige mkubwa mmoja ili kelele zipungueTunahitaji tuanze na hao Juve, tukisha wachomoa nyongo hofu habari zitaenea kwa hofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema nini?Umesikia habari za officer wa uefa aliepost hatua ya nane bora na akaifuta hafla posti
Sent using Jamii Forums mobile app
City tunawatamani sana liverpool, maana hatutawaacha,Naamini hakuna anayetaka kukutana na Liverpool UEFA, maana Pep kawaombea ushindi Bayern imeshindikana.
Usiyempenda kaja.
Tunaomba tupangiwe Porto. Nahisi kila team wanatamani wapangiwe porto.City tunawatamani sana liverpool, maana hatutawaacha,
Hahha unamaanisha liver??Wazee wa kuku wanataka kujutia maombi yao eti wanaomba City.Muwache kutamani vitu msivyo viweza