Yani hilo halizuiliki kaka before Xmass lazima Man Utd iwe kileleni, tena shukuru sana Tot Spurs walifungwa last match manake mngerudi nafasi ya 3 huko.
pole sana kwa msiba mkuu looserfool fc...
Ngoja uone tutakavyo mshushia kisago wacha1 anaenitisha ni mmoja tu vanmpire tu wengi shudu tupu..
Pole sana kwa kipigo cha fulham bwana..
:a s-coffee:
mkuu tafute jiwe au mawe uje uniambie unataka niweke hela ngapi? Nina uhakika 200 p/c mancity analala j2! Ingawa van magoli hatofunga!
hongereni bwana mmejitahidi japo,mlifanya la maana kuwashusha wale mambwiga man u pale juu
naona walijisahau kwa kikombe cha kahawa kwa muda machache ivi
Noise Neighbors..niwatakie heri ya sikukuu ya Xmas na mwaka mpya..nilitamani xmas hii nile nikiwa juu yenu, ila mipango si matumiz,,bado sijakata tamaa.