The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Chelsea-v-Man-City-Lampard-full-time_2690423.jpg

Yani hilo halizuiliki kaka before Xmass lazima Man Utd iwe kileleni, tena shukuru sana Tot Spurs walifungwa last match manake mngerudi nafasi ya 3 huko.

bado kabisa hapo na jihakikishia kukaa juu baada ya kuchukua point zangu tatu kwa arsenal halafu nyie na najua kabisa msipo pigwa basi mtaangaikia droo sawa bado na imani kubwa mpaka xmas the citizens tupo juu subiri muone hakuna ndumba hapa..
 
pole sana kwa msiba mkuu looserfool fc...
Ngoja uone tutakavyo mshushia kisago wacha1 anaenitisha ni mmoja tu vanmpire tu wengi shudu tupu..
Pole sana kwa kipigo cha fulham bwana..
:a s-coffee:

mkuu tafute jiwe au mawe uje uniambie unataka niweke hela ngapi? Nina uhakika 200 p/c mancity analala j2! Ingawa van magoli hatofunga!
 
mkuu tafute jiwe au mawe uje uniambie unataka niweke hela ngapi? Nina uhakika 200 p/c mancity analala j2! Ingawa van magoli hatofunga!

hata siku ya man u nilijua tunafungwa lakini tukaua na hawa aseno najua wamerudi lakini dk 90 ndo zaongea ngoja tuone..
 
BALOTELLI-SPLASH_1423863a.jpg

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

ushindi lazima kwa porto kwani wao nikina nani wasifungwe lazima tuonesha tunajua..
viva la city..
 
tomorrow game no comment untill it is over..
viva la city i know we can..
 
hongereni bwana mmejitahidi japo,mlifanya la maana kuwashusha wale mambwiga man u pale juu
naona walijisahau kwa kikombe cha kahawa kwa muda machache ivi
 
leo ni city v stoke
uwanja etihad stadium
muda 7:45 PM GMT
refa: M Dean
 
Noise Neighbors..niwatakie heri ya sikukuu ya Xmas na mwaka mpya..nilitamani xmas hii nile nikiwa juu yenu, ila mipango si matumiz,,bado sijakata tamaa.
 
Noise Neighbors..niwatakie heri ya sikukuu ya Xmas na mwaka mpya..nilitamani xmas hii nile nikiwa juu yenu, ila mipango si matumiz,,bado sijakata tamaa.

thanks for your greetings buddy..
 
Back
Top Bottom