The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
kweli kabisa, omba sana usikutane na Ajax ama You'll never walk alone ni kiama kaka watakupiga nyingi.Mpira dakika 90
Sent using Jamii Forums mobile app
It was a clear penalt kwa Official'sKwa upande wako lakin
Team A inapashaIt was a clear penalt kwa Official's
Na akose mechi zoteNdy hili nalosema kila wakati, kwamba tot hawanaga bahati. Kane tayr out
Mechi zile hazikuwa na umuhimukweli kabisa, omba sana usikutane na Ajax ama You'll never walk alone ni kiama kaka watakupiga nyingi.
Hizi 2-0 1-0 zimekua too much yani kwa sisi wazee wa betting correct score ya man city hatukosei ni 2-0 ama 1-0 ni inshara ya ubutu wa strikers
GTeam A inapasha
Leo kawa mpuuzi.
Bocco alikosa watu wamemsema hatari.
Aguero kapiga vizuri ila imeokolewa
Sisi tuko njema subiri jumapili. mjini Liverpool Bendera itashushwa nusu mlingoti.Ndio namuuliza shabiki huyo wa the Blues anapodai kuwa Chelsea wapo njema kuliko Spurs
ndio nani huyo?Depth ndo kama uchochoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tuko njema subiri jumapili. mjini Liverpool Bendera itashushwa nusu mlingoti.
Sent using Jamii Forums mobile app