The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mpira dakika 90
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa, omba sana usikutane na Ajax ama You'll never walk alone ni kiama kaka watakupiga nyingi.
Hizi 2-0 1-0 zimekua too much yani kwa sisi wazee wa betting correct score ya man city hatukosei ni 2-0 ama 1-0 ni inshara ya ubutu wa strikers
 
Mechi zile hazikuwa na umuhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom