The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

man city mtaishia kupata hicho hicho kikombe cha mbuzi tu, kwa watford hulambi kitu na ucl ndo ushatoka epl atabeba liva
 
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kama kikosi B kimefungwa moja wacha waje etihad full nondo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hii kauli futa kabisa! Liverpool Msimu aliifunga Man United ikiwa na Kikosi Kamili, Lakini am shindwa kuifunga ikiwa na Nusu kikosi.

Man United alifungwa na PSG akiwa na Mziki wa kina Pogba huku PSG ikiwakosa kina Neymar na Cavani.
Lakini Man United isiyokuwa na kina Pogba iliifunga PSG yenye kina Neymar na Cavani.

Kwahiyo point ya Kikosi B iwache kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…