The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

man city mtaishia kupata hicho hicho kikombe cha mbuzi tu, kwa watford hulambi kitu na ucl ndo ushatoka epl atabeba liva
 
Hii game ilitakiwa ianzie pale etihad ili tukienda kwao tunajua cha kufanya, ikianzia kwao ikaja kwetu wanajua cha kufanya. Ila tukiwapiga goli 4 hapo kwa itatupa njia nzuri hapo kwetu. Maana suluhu ya 0-0 hapo kwao inawapa advantage wakija kwetu, suluhu ya 1-1 hapo kwao maana yake suluhu ya 2-2 etihad tumetoka. Tushinde kwa big margin hapo kwao au suluhu ya 4-4 hapo kwao itakuwa pop.
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kama kikosi B kimefungwa moja wacha waje etihad full nondo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hii kauli futa kabisa! Liverpool Msimu aliifunga Man United ikiwa na Kikosi Kamili, Lakini am shindwa kuifunga ikiwa na Nusu kikosi.

Man United alifungwa na PSG akiwa na Mziki wa kina Pogba huku PSG ikiwakosa kina Neymar na Cavani.
Lakini Man United isiyokuwa na kina Pogba iliifunga PSG yenye kina Neymar na Cavani.

Kwahiyo point ya Kikosi B iwache kabisa.
 
Back
Top Bottom