The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu mbona unahangaika sana kwenye majukwaa ya watu hixo timu xote zimefuxu robo ila nusu fainali ndio hazijaingia...njoo LFC TUMEKUMISS

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa nitakuwa nmekosea mkuu ..hongereni kwa kuvuzu ..

Japo naona mwisho wenu unakaribia..

Ukipewa Ajax au Barca ndo basi tena, tutaandika RIP Liverpool..

Ila mtatisha kama mtaingia fainali tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Kaka uko vzr sn ktk kutabiri matokeo, maana ulitabiri kuwa Tottenham atamtoa City na ndivyo ilivyotokea Chifu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app

Pale nilitabiri kiushabiki zaidi, ila pia Spirit ya Tottenham game 1 iliniaminisha kwamba wanaweza kukichafua, hasa ukichukulia kwamba Harry Kane hayupo, hivyo hakuna mtu wa kumkaba maalum.
 
Uefa kwa pep ni mtihan sana.
Mm sina hofu na epl akili zake huwa zinakaa sawa.
Ila uefa labda tumpate mtu kama pochtno
 
Kweli inauma.
Sema jana nililala vzr tu baada ya kujihakikishia NIVIGUMU KUSHINDA UEFA TUKIWA NA PEP"
ANAOGOPA SANA na hajui kudefend big mechi wakat anashambulia. Game ya kwanza ndipo alipozingua.
Pep anatakiwa amuige klopp kitu kimoja. 'Kila game kazi kazi" ushindi must. Yeye analeta dharau uefa. Pia mtu wa analysis hatuna kabisa.
 
Yan unamtoa silva unamuingiza ndinho ili akalinde.
Hii akili mbovu ndo ilitufanya tufungwe away.
Silva kashaisha, apumzike tuu. Damu changa zipo benchi.
Uyu jamaa anajifanya anajua sana akifika UEFA alaf kule hakuna ujuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…