OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hhaha kijana wangu hongera kwa kunifunga ..kwakweli Goli la Salah linaweza kuwa goli bora zaidi kwangu japo Coutihno alilipa ..ila litabaki kuwa goli bora ..Mkuu Ollachuga habari yako hahahahahahahahah
Liverpool 2-0Chelsea..
Sent using Jamii Forums mobile app