The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pale nilitabiri kiushabiki zaidi, ila pia Spirit ya Tottenham game 1 iliniaminisha kwamba wanaweza kukochafua, hasa ukichukulia kwamba Harry Kane hayupo, hivyo hakuna mtu wa kumkaba maalum.
So inawezekana kukosekana kwa Harry Kane ndiko kulikoleta chachu ya ushindi toka kwa Tottenham mechi ya jana Chifu[emoji848]
 
Mimi bado namuamini ni kocha nzuri, ni kocha bora kabisa mwenye uwezo wa kutimiza malengo yetu. Kikubwa tuwe na moyo wa Subira na tusitake vitu vitimie kwa muda tunaotaka sisi.....

Hakuna timu isiyofungwa wala hakuna timu isiyotolewa kwenye michuano. Kutolewa CL kusitufanye tusahau wema na mazuri yoye ya Pep, japo ni kawaida ya binadamu kuangali makosa tu ila tusisahau zile sifa kede kede tuliokua tukimmwagia kocha wetu.....

Tulivyopangiwa Tot watu walionekana kumdharau ata humu ndani kuna kauli zilionekana wadau wakisema wanamtaka ata Barca, japo huwa kuna kauli nyingine za kishabiki ila nilisema humu bado hatupo sawa kuvaana na timu kama Barca ila niliwaudhi watu wengine wakaniita mamluki.....

Tot ni timu kubwa tusijisikie vibaya kututoa kwenye CL, hapa tusubiri msimu ujao ila kikubwa bado tunanafasi ya kuendelea kupambania EPL na FA CUP tunaisubiri kukipiga final....
 
Davet inabidi ayo mawili sasa tuweke kapuni.
Maana EPL ni ya kwetu tu
 
kumlinganisha pep na pochetino ni dharau
Kwa uefa.
He is nothing for sure.
Ananikera sana .
Game na barca ya marudiano akamuacha aguero akasema anaenda kujaza midfield kilichotokea tukafungwa.
Game na monaco akamuacha kolarov akachange na formula pale kati.
Game na spurs ya kwanza akaenda kulinda,akachange formation akaweka na kikosi B.
Jana baada ya kushindwa akamtoa mchezeshaji akaingiza ndinho mkabaji.
Na mengine mengi .
 
If you can't fight us join us

[emoji23][emoji23][emoji23]
Game ya spurs na ajax itakuwa nyepesi sana kwa spurs tofauti na watu wanavyofikiri.
Yan kiufupi tunaocheza tik-tak tunaweza kutolewa wote.
Sema ajax tu ndo anaipatia tik-tak sanaaaaaa.
 
Unajua ajax wanapiga pasi ila nyingi katikati na mbele .
Wanapiga pasi katikati ya watu.
Hapo tu ndipo tunapaswa ku improve kwa kweli.
Nadhani pep atakuwa ameona kitu kwa wale majamaa.
Barca na kuchezo kote tik-tak haijawakubali kama ajax.

Spurs wamekuwa watu ambao ukifanya kosa tu apoapo wanakuadhibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…