The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tafadhali nakuomba uhamie Ajax Chifu
Ajax utoto mwingi.
Wanacheza sana ila hawajapata timu ya kuwafunga nyingi. Spurs kwa mchezo wao wa hv karibuni inatishaaa pale mbele huwezi kushambulia tu .
Sasa ajax muda wote wanafunguka itakuwa game tam
 
Final nikiangalia angalia naona
Liverpool na spurs
 
Umechambua vzr sana Chifu
 
[emoji1] [emoji1] city timu inayochukiwa zaidi ulimwenguni.
Yan tunachukiwa mpaka spain
Mpaka france.
England ndo usiseme.
But this is our age.

We may not take UCL but not other trophies
 
Man city hamna kitu, miaka mitatu na uwekezaji wote huo mnakuwa wa kusuasua tuu na kuishia Robo fainali, Guardiola ni looser sana, mbwembwe nyingi lakn mwisho wa siku unalamba mchanga, gori tatu unapigwa home hii inaonyesha timu haijabalance.. amebase kweny Attacking mmiddfld na striker , na kujisahau kwenye Defending mdf na defender, ndo mana walikuwa wanakatika sana na kuwapa tottnham nafas ya kustrike freely...
Nafkri utashangaa sana utakavyoona City analoose na Epl, labda kombe la mbuzi FA ndo atapata.....tengeneza timu ya kuchukua vikombe na sio entertainment
 
Jumamosi Spurs ananyooshwa, anyooshwe

Kweli amepata matokeo jana (niliyoyafurahia) lakini Spurs ana nafasi ndogo sana ya kumpiga City ugenini
Tatizo sio ugenini.
Tatizo hasira.
Alaf sasa pep kukubali kuzingua mechi tatu ni aibu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…