goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Io hulka yake.Mimi sina tatizo na City bali uwepo wa Pep tu pale ndipo kunakonikereketa roho, kwanini atuchukie Waafrika kama sisi alituumba true[emoji848][emoji57]
Ila pia uwezo wa waliokuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Io hulka yake.Mimi sina tatizo na City bali uwepo wa Pep tu pale ndipo kunakonikereketa roho, kwanini atuchukie Waafrika kama sisi alituumba true[emoji848][emoji57]
Eriksen anasema kweli kuna mungu,tulishatoka
Baada ya kutolewa nimehamia spurs kwa muda uefa
Ajax utoto mwingi.Tafadhali nakuomba uhamie Ajax Chifu
That is football mkuu, unatakiwa kumuheshimu kila mpinzani unaekutana naeIi kali sasa
Ajax kiukwel hajakutana na timu yenye ushindan.Tafadhali nakuomba uhamie Ajax Chifu
Mimi bado namuamini ni kocha nzuri, ni kocha bora kabisa mwenye uwezo wa kutimiza malengo yetu. Kikubwa tuwe na moyo wa Subira na tusitake vitu vitimie kwa muda tunaotaka sisi.....
Hakuna timu isiyofungwa wala hakuna timu isiyotolewa kwenye michuano. Kutolewa CL kusitufanye tusahau wema na mazuri yoye ya Pep, japo ni kawaida ya binadamu kuangali makosa tu ila tusisahau zile sifa kede kede tuliokua tukimmwagia kocha wetu.....
Tulivyopangiwa Tot watu walionekana kumdharau ata humu ndani kuna kauli zilionekana wadau wakisema wanamtaka ata Barca, japo huwa kuna kauli nyingine za kishabiki ila nilisema humu bado hatupo sawa kuvaana na timu kama Barca ila niliwaudhi watu wengine wakaniita mamluki.....
Tot ni timu kubwa tusijisikie vibaya kututoa kwenye CL, hapa tusubiri msimu ujao ila kikubwa bado tunanafasi ya kuendelea kupambania EPL na FA CUP tunaisubiri kukipiga final....
hahaha mkuu wameshinda ndio ila hawajafuzu [emoji3][emoji3]
Mkuu guadiola anamambo madogo anazingua.Umechambua vzr sana Chifu
angalia usiwe kama drakeBaada ya kutolewa nimehamia spurs kwa muda uefa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]angalia usiwe kama drake
Jumamosi Spurs ananyooshwa, anyooshweBado na Jmosi mnatukabidhi Epl rasmi
Man city hamna kitu, miaka mitatu na uwekezaji wote huo mnakuwa wa kusuasua tuu na kuishia Robo fainali, Guardiola ni looser sana, mbwembwe nyingi lakn mwisho wa siku unalamba mchanga, gori tatu unapigwa home hii inaonyesha timu haijabalance.. amebase kweny Attacking mmiddfld na striker , na kujisahau kwenye Defending mdf na defender, ndo mana walikuwa wanakatika sana na kuwapa tottnham nafas ya kustrike freely...Mimi bado namuamini ni kocha nzuri, ni kocha bora kabisa mwenye uwezo wa kutimiza malengo yetu. Kikubwa tuwe na moyo wa Subira na tusitake vitu vitimie kwa muda tunaotaka sisi.....
Hakuna timu isiyofungwa wala hakuna timu isiyotolewa kwenye michuano. Kutolewa CL kusitufanye tusahau wema na mazuri yoye ya Pep, japo ni kawaida ya binadamu kuangali makosa tu ila tusisahau zile sifa kede kede tuliokua tukimmwagia kocha wetu.....
Tulivyopangiwa Tot watu walionekana kumdharau ata humu ndani kuna kauli zilionekana wadau wakisema wanamtaka ata Barca, japo huwa kuna kauli nyingine za kishabiki ila nilisema humu bado hatupo sawa kuvaana na timu kama Barca ila niliwaudhi watu wengine wakaniita mamluki.....
Tot ni timu kubwa tusijisikie vibaya kututoa kwenye CL, hapa tusubiri msimu ujao ila kikubwa bado tunanafasi ya kuendelea kupambania EPL na FA CUP tunaisubiri kukipiga final....
Tatizo sio ugenini.Jumamosi Spurs ananyooshwa, anyooshwe
Kweli amepata matokeo jana (niliyoyafurahia) lakini Spurs ana nafasi ndogo sana ya kumpiga City ugenini
Gundu gani tena Chifu?
Muulize alikuwa wap muda wote