halafu hii mijitu ya ManCity sijui vipi hii..............eti ili-appeal red card ya V. Kompany........ona sasa FA wametoa uamuzi.........kwa wasiojua/hawakucheza soccer wataona kaonewa...........lakini tuliocheza soccer tunaelewa ile ilikuwa kadi halali......
Poleni sana ndugu zangu...what goes up must come down even for just bit...
....hii team ambitions yake ni nini?
Kesho, Gwiji Man City anakutana na kibonde wa mwisho kabisa WIGAN, a fun combination hapa.
Kila la heri Man C, hatutaki tena maumivu mfululizo.
Game over!
Man City has restored their 3 points lead over their neighbours Man utd by defeating Wigan by a goal to nil.
Thanx to Dzeko's first half header!
nasikia AW atatoa pound 18 mil kwa ajili ya demba Ba