The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

halafu hii mijitu ya ManCity sijui vipi hii..............eti ili-appeal red card ya V. Kompany........ona sasa FA wametoa uamuzi.........kwa wasiojua/hawakucheza soccer wataona kaonewa...........lakini tuliocheza soccer tunaelewa ile ilikuwa kadi halali......

tuliona kaonewa hata huo uamuzi bado ni wa uonevu na tunawasubiria kwenye ligi hao manure..
 
duu sasa hivi tupo kwenye series ya maumivu kama timu zingine ingawa tumelost gemu mbili mfululizo ngoja tuangalia gemu zijazo...
go city go city!..
 
Kesho, Gwiji Man City anakutana na kibonde wa mwisho kabisa WIGAN, a fun combination hapa.
Kila la heri Man C, hatutaki tena maumivu mfululizo.
 
jamani huyu mancini bwana yupo frustration kwamba de rossi hatasajiliwa kwa kuwa mshua kasema timu ijiendeshe yenyewe..Jihabarishe zaidi HAPA!!
 
Today's Game

Game: Wigan v City
Venue: DW stadium
Time: 8:00 PM ( 5:00 Usiku TZ)
Referee: M Atkinson

viva la city(the citizens)
 
Kumbe hii bado tim ndogo?
Mbona sioni washabiki wake hapa? Ngoja leo nijitolee kuishangilia
 
Dzeko anafunga bonge ya goli kwa kichwa.
Man City 1 wigan 0
 
Game over!
Man City has restored their 3 points lead over their neighbours Man utd by defeating Wigan by a goal to nil.
Thanx to Dzeko's first half header!
 
'i didnot move to city just for money maneno ya nasri hayo...

Source: sports.opera.com
 
Back
Top Bottom