The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Chuki zinakuja kwa sababu ya ubora wa mchezaji.

Ni wachezaji wachache sana ambao ni bora wanaopata kupendwa na watu wengi.

Mfano Messi, Ronaldo De Lima, Ronaldinho, Kaka, nk ni wachezaji ambao unapokutana nao hata wakikufunga unaridhika.
Nikweli, au ubovu wa mchezaji ila hii inatokea pale mchezaji husika anacheza katika timu unayoishabikia
 

Mkuu amesahau ya kwamba VAR iliwapa penati mchezo wa kwanza na wakakosa, Ni kweli Aguero alikuwa offside kabisa, sas sijui walitaka washinde tu na offside hyo, hakuna movement ya mkono wa lorriente iliyoelekea mpira, ila mpira ulielekea kwenye kiuno na kiwiko cha jamaa...akatia kamban

Tottenham timu ambayo haijafanya usajili kwa msimu uliopita wakat benchi la Manchester city tu lilicost zaidi ya pound 700 million...

Totenham wameenda semi kwa uhalali kabisa, na hakuna upendeleo

Offside ya Aguero

 
Game mezani city vs spurs.
Je pep atakubali atolewe na timu moja michuano mi2
 
Na kama pep akitolewa leo basi inabidi tumchukue kocha wa ajax
 
Na kama pep akitolewa leo basi inabidi tumchukue kocha wa ajax
Mbona sio wavumilivu nyie?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na wasiwasi kuna timu mlikuwa mnashabikia mkahamia City kutokana na mafanikio yao.

Mbona naona mnashinda kabisa hizi game mlizobakiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…