Tunashukuru haijawa hivyoNyie huu mchezo mnaucheza Spurs atawapiga magoli ya kushtukiza, hasa akiweka natural striker kama Lorrente mnaweza fungwa au mkatoa sare
Nikweli kuna timu nyingi tena kubwa kama Man U akifika anacheza game zote msimu mzimaDogo aende zake tu...
Kwa kiwango chake sio mtu wa kukalia ubao..!
Tatizo kwa form yake kwq sasa atamuweka nan benchNikweli kuna timu nyingi tena kubwa kama Man U akifika anacheza game zote msimu mzima
Form inakua chini sababu ya bench unajua mchezaji akisugua sana bench anakosa mechi fitnessTatizo kwa form yake kwq sasa atamuweka nan bench
Asante mkuu naona tumaini lako lipo kwa man u sasaConglats people, that was one good game.
Mapambano yanaendelea.
Asante mkuu naona tumaini lako lipo kwa man u sasa
Hahah! Siunajua watakua kwao OT alafu hawatakubali tuwatumie kama daraja kuiteka ndoo hivyo watakaza na kufanya game iwe ngumu upande wetu. Ile sasa kushinda kwao ndio ata mimi sina imaniMan Utd sidhani kama wataweza chochote, naombea tu lakini imani yangu kwa hao viwete ni haba sana.
Hahah! Siunajua watakua kwao OT alafu hawatakubali tuwatumie kama daraja kuiteka ndoo hivyo watakaza na kufanya game iwe ngumu upande wetu. Ile sasa kushinda kwao ndio ata mimi sina imani
Ila umeona mwenyewe spurs walivyowakosa, tuseme tu bahati ilikua upande wenu kwa leoTunashukuru haijawa hivyo
Tot tumekutana nao mara nyingi ndani ya muda mfupi wametuzoea sasa na bora tumemalizana nae kabisa.... leo ulikua upepo wetuGame yenu leo kulikuwa na mismatch kwenye defense, na Tottenham walikuwa na patterns za ku-exploit hizo mismatch ila hawakuwa na clinical finishers.
Kuna 4 close attempts ambapo golikipa kazitoa kibahati, moja ya Son nadhani beki ndiye aliokoa.
Man Utd ukiacha motivation ya kwamba game ni Derby, sidhani kama wana chochote cha kuwatisha.
Kama mtapiga mpira wa leo, Utd anakufa 3+.
Nikweli Mkuu sibishi sometimes kwenye soccer kunakuaga na bahati na leo licha ya kupiga Mpira mkubwa pia bahati ilikua upande wetu...Ila umeona mwenyewe spurs walivyowakosa, tuseme tu bahati ilikua upande wenu kwa leo
Tot tumekutana nao mara nyingi ndani ya muda mfupi wametuzoea sasa na bora tumemalizana nae kabisa.... leo ulikua upepo wetu
Mwenyewe nahisi kitu kama hicho mkuu. Inshaalah!!Sure, ngoja tusubiri hiyo Jumatano tuone.
Ila kombe lina kila dalili ya kubaki kwenu.
Mwenyewe nahisi kitu kama hicho mkuu. Inshaalah!!
Labda maajabu ya Mpira yatokee
Kuna game nahisi utadro na timu ya kawaida kabisaKweli, hapo ni maajabu tu ndiyo yanayoweza kuharibu.
Otherwise mko vizuri sana, game ambazo huwa mnakamia mnapataga matokeo mapema sana.
Kuna game nahisi utadro na timu ya kawaida kabisa
Hakika aiseeKama mkimpiga Man Utd, morali kwangu itaisha, Newcastle au Wolves kuna mmoja anaweza kuzingua.
Hakika aisee