The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

20190420_185459.png
 
Man Utd sidhani kama wataweza chochote, naombea tu lakini imani yangu kwa hao viwete ni haba sana.
Hahah! Siunajua watakua kwao OT alafu hawatakubali tuwatumie kama daraja kuiteka ndoo hivyo watakaza na kufanya game iwe ngumu upande wetu. Ile sasa kushinda kwao ndio ata mimi sina imani
 
Game yenu leo kulikuwa na mismatch kwenye defense, na Tottenham walikuwa na patterns za ku-exploit hizo mismatch ila hawakuwa na clinical finishers.

Kuna 4 close attempts ambapo golikipa kazitoa kibahati, moja ya Son nadhani beki ndiye aliokoa.

Man Utd ukiacha motivation ya kwamba game ni Derby, sidhani kama wana chochote cha kuwatisha.

Kama mtapiga mpira wa leo, Utd anakufa 3+.
 
Tot tumekutana nao mara nyingi ndani ya muda mfupi wametuzoea sasa na bora tumemalizana nae kabisa.... leo ulikua upepo wetu
 
Mwenyewe nahisi kitu kama hicho mkuu. Inshaalah!!

Labda maajabu ya Mpira yatokee

Kweli, hapo ni maajabu tu ndiyo yanayoweza kuharibu.

Otherwise mko vizuri sana, game ambazo huwa mnakamia mnapataga matokeo mapema sana.
 
Back
Top Bottom