The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Majirani kweli mlihitaji Top 4 kwa udi na uvumba ila hatuna namna kwetu huu ubingwa ni mhimu zaidi kuliko nyinyi kuwa top 4.asanteni kwa kushiriki tutawapa kadi ya mwaliko siku tunakabidhiwa huu ubingwa.[emoji120]
Wanaleta changamoto nzuri ila wamesahahu wanagame na wolves
 
Pole sana Chifu, lkn Mungu anaweza kuwa upande wenu UEFA CHAMPIONS LEAGUE ukashangaa mnampiga Barca na kutinga fainali kisha kushinda na kutwaa kombe kubwa kuliko la epl.
Wolves watakuwa Anfield, most likely ubingwa utakuwa umeshaamuliwa.

Maana ikitokea tunaenda final game kwa nyie kuwa mbele kwa hii point, Brighton mtamfunga tu, nahisi sitaangalia game siku hiyo. Itakuwa majonzi sana.
 
Pole sana Chifu, lkn Mungu anaweza kuwa upande wenu UEFA CHAMPIONS LEAGUE ukashangaa mnampiga Barca na kutinga fainali kisha kushinda na kutwaa kombe kubwa kuliko la epl.

Kwa Liverpool EPL ni kubwa kuliko UEFA, it has been a long wait.

Lakini ni mchezo, siyo mwisho, tutakuja kupata nafasi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…