The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Game na Bunley ni ngumu sana kwenu, kama mtaweza kushinda basi mtakua na 90% kuchukua ubingwa
 
Lkn kiukweli hata City akipoteza bado Liverpool ana mechi ngumu sana wakiwemo hawa Wolverhampton FC Chifu
liver ameshinda game ngumu nyingi sana msimu huu, moja kati ya hizo ni ya organized & rejuvenated Cardiff defense ya juzi. Wolves sio waoga ili wanazionea timu zisizojiamini tu, city aliwapiga thalatha January. Wenyewe wolves wananusa fear kama mbweha vile, sasa liver hawana hiyo, live ni mwendo mchibuyu mwanzo mpaka mwisho. Sisi washabiki wa united tunaiombea mabay liver ila wanajitahidi kwakweli
 
Umesomeka vzr sana Chifu, kila la heri LIVERPOOL "YOU'LL NEVER WALK ALONE"

"Stand for the truth always stand alone"
liver ameshinda game ngumu nyingi sana msimu huu, moja kati ya hizo ni ya organized & rejuvenated Cardiff defense ya juzi. Wolves sio waoga ili wanazionea timu zisizojiamini tu, city aliwapiga thalatha January. Wenyewe wolves wananusa fear kama mbweha vile, sasa liver hawana hiyo, live ni mwendo mchibuyu mwanzo mpaka mwisho. Sisi washabiki wa united tunaiombea mabay liver ila wanajitahidi kwakweli
 
Emenifumbua akili Chifu, ss mbona timu nyingi huwa zinatoana roho hata kung'ang'ania top 4 ili ziweze kushiriki UEFA kama ilivyo ss hv kwa Man U, Chelsea na Arsenal?

Ukichukua kiasi cha fedha anachopata mshindi wa EPL ni zaidi ya kile cha mahindi wa UEFA.

Ila ukigawa kwa idadi ya mechi wanazocheza, kiasi cha UEFA ni kikubwa.

Kwa hiyo nadhani hilo ni namba moja, prestige ni issue pia, unazungumzia best of EUROPE, inakupa nafasi ya kuonekana Ulaya, endorsements zinaongezeka kwa sababu kila mdhamini anataka kuonekana Ulaya na duniani.
 
Asante sana Chifu, na hiyo ni kwa huko huko Ulaya tu au zipo nchi zingine duniani zenye thamani ya pesa nyingi kuliko kombe la klabu bingwa ya Bara kama ilivyo EPL kwa UEFA?

EPL ndiyo ligi inayoongoza kwa kuwa na thamani kubwa duniani (kwa football).

Hili linachangiwa na wao wenyewe waingereza kupenda mpira (unaweza kuangalia jinsi viwanja vinavyojaa hadi mechi za ligi ndogo).

Pia wameifanyia sana matangazo ligi yao, wana mkataba wa broadcasting ambao ni mkubwa sana, kila timu inapata mgao wa kutosha hapo.

Angalia hata huku kwetu, kupata nafasi ya kuonesha ligi ya EPL siyo shughuli ndogo, ndiyo maana huwezi kupata local channel inashinda hiyo tenda.

Wameweza kufanya ligi yao ipendwe dunia nzima, sina uhakika kwa USA (hawa wana michezo yao kama American Football, Basketball, Baseball na Hockey).

Na Manchester United ndiyo club ya michezo yenye washabiki wengi duniani (michezo yote).
 
Back
Top Bottom