WapambaneeePole sana Chifu, lkn Mungu anaweza kuwa upande wenu UEFA CHAMPIONS LEAGUE ukashangaa mnampiga Barca na kutinga fainali kisha kushinda na kutwaa kombe kubwa kuliko la epl.
Natabia yao yakupaki basiKazi imebaki kwa Brighton and hove
This was a big chance. And still is.Kwa Liverpool EPL ni kubwa kuliko UEFA, it has been a long wait.
Lakini ni mchezo, siyo mwisho, tutakuja kupata nafasi tena.
Sikumaanisha heshima bali nilimaanisha kifedha Chifu[emoji5]Kwa Liverpool EPL ni kubwa kuliko UEFA, it has been a long wait.
Lakini ni mchezo, siyo mwisho, tutakuja kupata nafasi tena.
Tuwaombee heri Liverpool angalau wafute machozi hata kuwa mabingwa wa UEFA[emoji87]Wakikaza wanamtoa barca
Sikumaanisha heshima bali nilimaanisha kifedha Chifu[emoji5]
lolote laweza kutokea, japo siombei Liverpool wapate ila wanaweza nyanyua. Point moja kwa michezo mitatu ya point tisa lolote lawezekanaTuwaombee heri Liverpool angalau wafute machozi hata kuwa mabingwa wa UEFA[emoji87]
"Stand for the truth always stand alone"
EPL ina fedha ndefu bosi kupita UEFA.
Sema UEFA michezo siyo mingi ukilinganisha na EPL.
Lkn kiukweli hata City akipoteza bado Liverpool ana mechi ngumu sana wakiwemo hawa Wolverhampton FC Chifulolote laweza kutokea, japo siombei Liverpool wapate ila wanaweza nyanyua. Point moja kwa michezo mitatu ya point tisa lolote lawezekana
Kumbe ulikuwa ukifurahi usoni lkn unalia rohoni kwa matokeo ya mechi ya Jana[emoji848][emoji28]
Pole sana na hongera sana, hii ndiyo dunia inabidi wakati mwingine tuwe wanafki ili maisha yaendelee Mama[emoji38]Nimesikitika ila nimefarijika
liver ameshinda game ngumu nyingi sana msimu huu, moja kati ya hizo ni ya organized & rejuvenated Cardiff defense ya juzi. Wolves sio waoga ili wanazionea timu zisizojiamini tu, city aliwapiga thalatha January. Wenyewe wolves wananusa fear kama mbweha vile, sasa liver hawana hiyo, live ni mwendo mchibuyu mwanzo mpaka mwisho. Sisi washabiki wa united tunaiombea mabay liver ila wanajitahidi kwakweliLkn kiukweli hata City akipoteza bado Liverpool ana mechi ngumu sana wakiwemo hawa Wolverhampton FC Chifu
liver ameshinda game ngumu nyingi sana msimu huu, moja kati ya hizo ni ya organized & rejuvenated Cardiff defense ya juzi. Wolves sio waoga ili wanazionea timu zisizojiamini tu, city aliwapiga thalatha January. Wenyewe wolves wananusa fear kama mbweha vile, sasa liver hawana hiyo, live ni mwendo mchibuyu mwanzo mpaka mwisho. Sisi washabiki wa united tunaiombea mabay liver ila wanajitahidi kwakweli
Emenifumbua akili Chifu, ss mbona timu nyingi huwa zinatoana roho hata kung'ang'ania top 4 ili ziweze kushiriki UEFA kama ilivyo ss hv kwa Man U, Chelsea na Arsenal?
Ukichukua kiasi cha fedha anachopata mshindi wa EPL ni zaidi ya kile cha mahindi wa UEFA.
Ila ukigawa kwa idadi ya mechi wanazocheza, kiasi cha UEFA ni kikubwa.
Kwa hiyo nadhani hilo ni namba moja, prestige ni issue pia, unazungumzia best of EUROPE, inakupa nafasi ya kuonekana Ulaya, endorsements zinaongezeka kwa sababu kila mdhamini anataka kuonekana Ulaya na duniani.
Asante sana Chifu, na hiyo ni kwa huko huko Ulaya tu au zipo nchi zingine duniani zenye thamani ya pesa nyingi kuliko kombe la klabu bingwa ya Bara kama ilivyo EPL kwa UEFA?
Yeah watu wanawasahau sana.Lkn kiukweli hata City akipoteza bado Liverpool ana mechi ngumu sana wakiwemo hawa Wolverhampton FC Chifu