Kupambana wanapambana sanaliver ameshinda game ngumu nyingi sana msimu huu, moja kati ya hizo ni ya organized & rejuvenated Cardiff defense ya juzi. Wolves sio waoga ili wanazionea timu zisizojiamini tu, city aliwapiga thalatha January. Wenyewe wolves wananusa fear kama mbweha vile, sasa liver hawana hiyo, live ni mwendo mchibuyu mwanzo mpaka mwisho. Sisi washabiki wa united tunaiombea mabay liver ila wanajitahidi kwakweli
Yeah kile kiasi per game japo kinapanda kila hatuaUkichukua kiasi cha fedha anachopata mshindi wa EPL ni zaidi ya kile cha mahindi wa UEFA.
Ila ukigawa kwa idadi ya mechi wanazocheza, kiasi cha UEFA ni kikubwa.
Kwa hiyo nadhani hilo ni namba moja, prestige ni issue pia, unazungumzia best of EUROPE, inakupa nafasi ya kuonekana Ulaya, endorsements zinaongezeka kwa sababu kila mdhamini anataka kuonekana Ulaya na duniani.
Nilisikia laliha nao wapo juu kwa mkwanja wa ligi hivi ni kweliEPL ndiyo ligi inayoongoza kwa kuwa na thamani kubwa duniani (kwa football).
Hili linachangiwa na wao wenyewe waingereza kupenda mpira (unaweza kuangalia jinsi viwanja vinavyojaa hadi mechi za ligi ndogo).
Pia wameifanyia sana matangazo ligi yao, wana mkataba wa broadcasting ambao ni mkubwa sana, kila timu inapata mgao wa kutosha hapo.
Angalia hata huku kwetu, kupata nafasi ya kuonesha ligi ya EPL siyo shughuli ndogo, ndiyo maana huwezi kupata local channel inashinda hiyo tenda.
Wameweza kufanya ligi yao ipendwe dunia nzima, sina uhakika kwa USA (hawa wana michezo yao kama American Football, Basketball, Baseball na Hockey).
Na Manchester United ndiyo club ya michezo yenye washabiki wengi duniani (michezo yote).
Nilisikia laliha nao wapo juu kwa mkwanja wa ligi hivi ni kweli
Yeah laliga naoga broadcasts asilimia kubwa wanagawana real na barca tu tofaut na eplKiasi lakini hawafiki hata 70% ya EPL.
Miaka ya karibuni wamefanya mabadiliko ili broadcasting revenue izifikie hata zile timu za chini tofauti na zamani mgao mkubwa ilikuwa ni Barca na R Madrid.
Jamaa per msimu wanachukua zakutosha zile club mbili kubwaKiasi lakini hawafiki hata 70% ya EPL.
Miaka ya karibuni wamefanya mabadiliko ili broadcasting revenue izifikie hata zile timu za chini tofauti na zamani mgao mkubwa ilikuwa ni Barca na R Madrid.
Mwanampotevu naona shemeji kakishikilia kengele huchomoki ananing'inia tucitizen chairman am here
#man united lovely decision
Inamana timu kama liverpool ukiacha kukosa uefa mwaka jana ila watakuwa wameingiza mkwanja wa kutosha wa hizi broad....Kiasi lakini hawafiki hata 70% ya EPL.
Miaka ya karibuni wamefanya mabadiliko ili broadcasting revenue izifikie hata zile timu za chini tofauti na zamani mgao mkubwa ilikuwa ni Barca na R Madrid.
Jamaa per msimu wanachukua zakutosha zile club mbili kubwa
Liva kalikaribia zaidi
Inamana timu kama liverpool ukiacha kukosa uefa mwaka jana ila watakuwa wameingiza mkwanja wa kutosha wa hizi broad....
Ok...La Liga 2017/18
View attachment 1081201
View attachment 1081203
Mtu wa kwanza La Liga alipata €150 ambayo ni sawa na £130 (Man City EPL ana £153).
Mtu wa mwisho La Liga ana €62 sawa na £53.7 (wa mwisho EPL ana £93).
Hapo utaona ni kwa kiasi gani EPL kawapita La Liga kimapato.
Exchange Rate: £1 = €1.155, current rate.
goswe na strongestbeliefsecret.
Hahha ilo vuta nikuvute.Liva kalikaribia zaidi
Ok...
Apo nimekupata mm nilizingua kitu kimoja.
Siku convert izo pesaa.
Sasa uu uchambuzi nimeupata vzr.
Kulingana na apo kweli epl wana earn more.
Na hii uefa inaonyesha kama timu za epl zikiishia kati broadcasts wanaingiza kidogo.
Ok kumbe wacha watu wapambanie tu top 4.Uzuri mara nyingi kwenye Broadcast contract inakubaliwa mapema, unakuta kuna variations kidogo tu ambapo inategemea na timu zilikofika + soko la timu husika.