The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa hii Sub kweli Pep alikubali yaishe, game ilikua ngumu sana
 
hamna mm nataka city achukue.
Ila kwa jinsi game ilivyokua leo ushindi ulikuja, kwa tabu sana, bunley walikaza aise we mwenyewe uliona
Kweli jamaa walikaza kuna muda nilikata tamaa mkuu
 
hamna mm nataka city achukue.
Ila kwa jinsi game ilivyokua leo ushindi ulikuja, kwa tabu sana, bunley walikaza aise we mwenyewe uliona
Unakumbuk walichowafanyia chelsea
 
Nasubiria newcastle na wolves wafanye mambo kuwa mepesi kwa city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…