Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Lukaku anatumia nguvu sana. Is not a fair..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lukaku anatumia nguvu sana. Is not a fair..
kama wewe ulikimbia huko unafikiri na wenzako watakimbia kama wwArsenal.
Chelsea
Aya ww leta kiburi mwisho wa msimu nitajioneakama wewe ulikimbia huko unafikiri na wenzako watakimbia kama ww
Hao wanaokula popcorn sasa walivyo na hali mbaya 😂😂
Hahah jamaa walijitahidi kukazaLeo hamtatika salama hapo kwa bunley. Naona kama mtadroo hivi
Hahah jamaa hutupendi weweUbingwa hamna hapa
Nimeona jamaa ni mzuri akitokea subLeo timu inacheza ovyo sijapata kuona...
Huyu Sane sidhani kama atamaliza dakika 90..!
hamna mm nataka city achukue.Hahah jamaa hutupendi wewe
Kweli jamaa walikaza kuna muda nilikata tamaa mkuuhamna mm nataka city achukue.
Ila kwa jinsi game ilivyokua leo ushindi ulikuja, kwa tabu sana, bunley walikaza aise we mwenyewe uliona
Atnyamaza mwenyeweHahah jamaa hutupendi wewe
Out of form kabisa.Nimeona jamaa ni mzuri akitokea sub
Hahahha ebwana sio poa.View attachment 1083530 Kwa hii Sub kweli Pep alikubali yaishe, game ilikua ngumu sana
Unakumbuk walichowafanyia chelseahamna mm nataka city achukue.
Ila kwa jinsi game ilivyokua leo ushindi ulikuja, kwa tabu sana, bunley walikaza aise we mwenyewe uliona