The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tizo zote za mchezaji bora wa mwaka na mchezaji chipukizi.
Kwa wanawake zimekuja city.
Huyu VVD walimpendelea tu.
Ngoja aje akutane na messi
 
daah kuna wanangu hawajaniangusha katika ukurasa wetu wa ETIHAD especially

#GOSWE
#DAVET

na wengine wengi tu


Another final loading ............. leces city


#citizen chairman am here
 
Sio siri champions league inaumiza sana.
Hatustahili yale ata kdg duu.
 

Hawa watashabikia timu zote.
Walipaswa kujikita na ucl tuuu.
Ili mwakan iwe zamu yetu kuchukua
 
John hart to leave burnley for free.
Kweli kila kitu kina mwanzo na mwisho
 
Chama la wana the city boy kama naona tunavyo maliza biashara mapema na hawa Leicester hiyo monday.
Yeah.
Hilo halin upinzani kwanza wao wenyewe wanafurah sisi kuchukua ubingwa
 

Huyu jamaa sio mbaya ila atakapotulia vzr ana character za rooben.
Yeye pia wakat fulan alisema anavutiwa sana na roben pamoja na messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…