goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Mkuu ww usiwaze.Hakikisheni kale kajogoo hakatwai ubingwa
Bila shaka mmenielewa
Mambi mpera mpera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ww usiwaze.Hakikisheni kale kajogoo hakatwai ubingwa
Bila shaka mmenielewa
Labda kukaa bench inachangiaOut of form kabisa.
Bora atokee sub.
Ila jamaa ni mzuri kwa open game
Kumbe wamebakiza games ngumuNasubiria newcastle na wolves wafanye mambo kuwa mepesi kwa city
Usijali mkuu, tumekuelewaHakikisheni kale kajogoo hakatwai ubingwa
Bila shaka mmenielewa
Izo game sio za kawaida mr davetKumbe wamebakiza games ngumu
amna kaka majukumu tu ya hapa na pale ila pamoja kakaMwanampotevu naona shemeji kakishikilia kengele huchomoki ananing'inia tu
Tupo pa1 mkuudaah kuna wanangu hawajaniangusha katika ukurasa wetu wa ETIHAD especially
#GOSWE
#DAVET
na wengine wengi tu
Another final loading ............. leces city
#citizen chairman am here
Yeah.Chama la wana the city boy kama naona tunavyo maliza biashara mapema na hawa Leicester hiyo monday.