fainal yenu ni game na leicester mkishinda hiyo kazi inakua imeisha Brighton hana madhara sanaKwa bahati za namna hii hawa kuku wanaweza chukua ndoo tukilegea aisee hawa game zao zimekuwa za kushinda kwa bahati bahati tu.
Wameshindanilikuambia mkuu liver dk za mwisho tu
Leicester hana pakuchomokea ndani ya Etihad, sema hawa watoto Brighton ila kwa Wolves kuku bado kazi ipo tena pevu.fainal yenu ni game na leicester mkishinda hiyo kazi inakua imeisha Brighton hana madhara sana
Hahaha aishabikii ila nawaonea huruma.Acha kushabikia injury bana, sio poa.
Surely.Na game yenu na leicester itakua ngumu kushinda hata hii ya liva
Epl na Uefa ni ya Liverpool,mjiandae kisaikolojia tu!...Kwa bahati za namna hii hawa kuku wanaweza chukua ndoo tukilegea aisee hawa game zao zimekuwa za kushinda kwa bahati bahati tu.
pressure imehamia huku sasa ila mtashinda mpo nyumbaniSurely.
Ila hamna namna inabidi tushinde
Mawazo mgandoEpl na Uefa ni ya Liverpool,mjiandae kisaikolojia tu!...
Hahha mkuu unajua mara mwisho liverpool kuchukua refa walivaa sutiEpl na Uefa ni ya Liverpool,mjiandae kisaikolojia tu!...
We only need an early goal najua pep kashawaambia vijana wapambane dakika za mwanzon kisha wacontrol gamepressure imehamia huku sasa ila mtashinda mpo nyumbani
kwa game kama ya kesho this boy ndo tegemeo kubwa ukimjumlisha na aguero .
Leicester anakufa mapema sana.
Vardy hatembei pale mbele . kwisha kazi[/ATTACH]
Game ni ngumu kama tukichelewa kupata matokeo mpaka dakika ya 60Kesho nataman city ashinde ilaa nina wasi wasi sana na hii game,
City kufungwa ni vigumu.kwa game ya kesho ni ngumu sana Man City kutoboa kwa Leicester, usimhesabu Vardy tu kumbuka kuna J. Madison ni mwiba mbaya mbovu, yaan kama City atapona jua ni draw. Ila huo ndo ukweli lazma City afe
City kufungwa ni vigumu.
Sema labda wabanie ushindi walazimishe sare.
Ile game na burnley niligundua wachezaj walikuwa na pressure sana.natamani sana iwe suluhu.