The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa bahati za namna hii hawa kuku wanaweza chukua ndoo tukilegea aisee hawa game zao zimekuwa za kushinda kwa bahati bahati tu.
 
fainal yenu ni game na leicester mkishinda hiyo kazi inakua imeisha Brighton hana madhara sana
 
Kwa bahati za namna hii hawa kuku wanaweza chukua ndoo tukilegea aisee hawa game zao zimekuwa za kushinda kwa bahati bahati tu.
Epl na Uefa ni ya Liverpool,mjiandae kisaikolojia tu!...
 
kwa game kama ya kesho this boy ndo tegemeo kubwa ukimjumlisha na aguero .
Leicester anakufa mapema sana.
Vardy hatembei pale mbele . kwisha kazi[/ATTACH]
 
Attachments

  • FB_IMG_15558681180611061.jpeg
    FB_IMG_15558681180611061.jpeg
    34.4 KB · Views: 17
kwa game ya kesho ni ngumu sana Man City kutoboa kwa Leicester, usimhesabu Vardy tu kumbuka kuna J. Madison ni mwiba mbaya mbovu, yaan kama City atapona jua ni draw. Ila huo ndo ukweli lazma City afe
kwa game kama ya kesho this boy ndo tegemeo kubwa ukimjumlisha na aguero .
Leicester anakufa mapema sana.
Vardy hatembei pale mbele . kwisha kazi[/ATTACH]
 
kwa game ya kesho ni ngumu sana Man City kutoboa kwa Leicester, usimhesabu Vardy tu kumbuka kuna J. Madison ni mwiba mbaya mbovu, yaan kama City atapona jua ni draw. Ila huo ndo ukweli lazma City afe
City kufungwa ni vigumu.
Sema labda wabanie ushindi walazimishe sare.
 
Leicester ni tim nzuri.
Alaf ubaya yupo kwenye form nzuri
 
Back
Top Bottom