The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man City wanafungika sana sema tu basi, maana ata ukicheki kwa hizi gemu zao kama nne za hapa mwisho mwsho za EPL wameshinda kwanushindi wa kuchechemwa sana tena ushindi mwembamba kishenzi, naamini kesho wanadrop point au wana suluhu.
Ile game na burnley niligundua wachezaj walikuwa na pressure sana.
Isitokee kesho wanaweza kupoteza point
 
msiwe na shaka wakuu always city ni best

natumai mungu hanayo sababu ya sisi kutoka robo uefa au mmesahau mwaka jana wao wanapata nafasi ya kwenda mbele lakini wansshindwa sisi tunaweka heshima england tu kwanza

nawasilisha

cityzen chairman am here

Another final loading............etihad
 
Man City wanafungika sana sema tu basi, maana ata ukicheki kwa hizi gemu zao kama nne za hapa mwisho mwsho za EPL wameshinda kwanushindi wa kuchechemwa sana tena ushindi mwembamba kishenzi, naamini kesho wanadrop point au wana suluhu.
Ushindi mwembamba nadhani ni kutokana na tim pinzani kubana na kupaki basi bila ata kutaka kushambulia.
Tatizo linatokeaga unapokutana na wazee wa counter. Kama leicester.
 
kumbuka pia kuna Brendan Rodgers yule ni Liverpool damu, lazma haarobu kitumbua cha Man City.
Hahahha sasa mkuu ubaya timu sio ya mtu mmoja.
Mm naamin kesho wanaenda kuforce mapema lipatikane goli ata dakika ya 8.
Alaf waanze kujimwaga
 
watu gani unaamini wataforce kati ya Foxes and Citizen?
Hahahha sasa mkuu ubaya timu sio ya mtu mmoja.
Mm naamin kesho wanaenda kuforce mapema lipatikane goli ata dakika ya 8.
Alaf waanze kujimwaga
 
Mim naamin leo tunashinda, tukianza na ule moto kama wa totnhum, tutawapiga goli nyingi sanaa kipind cha kwanza

Cha muhimu gardiola asiiogope hii match aanze na mashambulizi tu
 
Mim naamin leo tunashinda, tukianza na ule moto kama wa totnhum, tutawapiga goli nyingi sanaa kipind cha kwanza

Cha muhimu gardiola asiiogope hii match aanze na mashambulizi tu
We jamaa nilikuwa najiuliza sana kumbe ni mshabiki wa Manchester city ndio maana hujui mpira.
 
Aya leo tuna kibarua kingine cha kuthibitisha ss ni mabingwa
 
Mim naamin leo tunashinda, tukianza na ule moto kama wa totnhum, tutawapiga goli nyingi sanaa kipind cha kwanza

Cha muhimu gardiola asiiogope hii match aanze na mashambulizi tu
Uo ni ukweli.
Ila huwa system ya pep inamfany mpinzan asifunguke. Tofaut na ile game ya spurs timu zote zilifunguka
 
We have never lose twice against leicester in a league campaign since 1986
 
Segio aguerooooo.
Mechi ya mwisho na leicester etihad alitupia 4 peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…