matoA
Senior Member
- Apr 27, 2017
- 116
- 137
Man City wanafungika sana sema tu basi, maana ata ukicheki kwa hizi gemu zao kama nne za hapa mwisho mwsho za EPL wameshinda kwanushindi wa kuchechemwa sana tena ushindi mwembamba kishenzi, naamini kesho wanadrop point au wana suluhu.
Ile game na burnley niligundua wachezaj walikuwa na pressure sana.
Isitokee kesho wanaweza kupoteza point