ndugu zangu naona msimu huu ndo unaenda tamati na sisi kama mashabiki wa the cityzen or blue moon ni wakati wa kutafuta mchezaji wetu bora wa klabu na tumpe heshima hiyo
Mimi ni wachezaji wangu watatu 1. rahim sterling
Nadhani hata ninyi mnajua kazi yake vizuri hasa kwenye ile first eleven yetu matata kabisa 2.bernado silva
kijana wetu nae tumpe nafasi hiyo maana msimu huu mashabiki wa etihad wanajua nini kafanya especially wa man united pia 3.kyle walker
daa huyu jamaa kwa england sijaona namba kama hii kwenye timu zote sijui ila daa huyu ni noma
Na nyinyi mitazamo yenu ruksa wazee
cityzen chairman am here