Foden mzur lkn si kwa hii mechi.
Nadhan kuna umuhim sana wa kuwa na Debryne
Leicester mbele wanapata changamoto ya Bernado tu, wengine hawawez kupiga chenga ata mbili.Surely.
Ila bora benardo ashuke.
Dogo atoke aingie japo sane
Ukiangalia mechi ambazo hatukupata matokeo mazur ni makosa ya Pep namna ya selection of good players.Pep kama kawaida yake hayupogo serious na game za matokeo.
Lets see.Leicester mbele wanapata changamoto ya Bernado tu, wengine hawawez kupiga chenga ata mbili.