The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Foden mzur lkn si kwa hii mechi.

Nadhan kuna umuhim sana wa kuwa na Debryne
FB_IMG_15571673851324482.jpeg


Next season huyu mreno mwingine anatua etihad. Anabalaaa kwenye ufungaji na assist type ya KDB
 
Pep kama kawaida yake hayupogo serious na game za matokeo.
 
Ubaya tutapofungua kutafuta goli na kumuacha vardy na kompany
 
D.silva asipoangalia ana red .
Tangu apewe kadi anacheza foul sana
 
Hii game shabiki wa liverpool wana pressure kutuzidi
 
Back
Top Bottom