BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ii ni fainali.
Bora ata ya leo.
Kama nawaona ma officer wa epl wakija etihad na kombe kabisa siku io
Mapema sana mkuuTarehe 12 May...itakuwa Sunday...Man city akishinda tu anakuwa bingwa...itapigwa Briton stadium
Mapema sana mkuu
[emoji12] [emoji12] na mwakan liverpool inasambaratishwa.Mm nishaanza kufikiria msimu ujao nan atakuwa mpinzani wangu maana nawez kubeba ndoo mara tatu mfululizo.
Hakikisheni kale kajogoo hakatwai ubingwa
Bila shaka mmenielewa
Nauona muda wa kuku kuchinjwa ukiwadia taratibu huku wakijifariji kuwa wataiona kesho
Nauona muda wa kuku kuchinjwa ukiwadia taratibu huku wakijifariji kuwa wataiona kesho
HaahaahahahahTushachinjwa kwa mpira wa kukariri
Hahahaha,........miaka ile waarabu walikua bado hawajawekeza zaidi ya wale brothers wa bendi ya Oasis.Imedumu mpaka leo