BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ii ni fainali.
Bora ata ya leo.
Kama nawaona ma officer wa epl wakija etihad na kombe kabisa siku io
Tarehe 12 May...itakuwa Sunday...Man city akishinda tu anakuwa bingwa...itapigwa Briton stadium