kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Team bado bado haijakaa vizuri aliniambia after two yearsHivi huyu Guardiola bado haoni umhimu wa sisi kuchukua UCL kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team bado bado haijakaa vizuri aliniambia after two yearsHivi huyu Guardiola bado haoni umhimu wa sisi kuchukua UCL kweli?
Amesema msimu ujao kufa na kupona [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi huyu Guardiola bado haoni umhimu wa sisi kuchukua UCL kweli?
Akichukua spurs itakuwa aibu kwa kwelTeam bado bado haijakaa vizuri aliniambia after two years
Tatizo la Sane ni kwamba ana "arrogance" fulani hivi,pia ni mvivu, ukitaka kuona haya mchunguze Sane akipigiwa mpira mrefu au akipoteza mpira reaction yake inavyokua...Sane amedrop sanaa sanaa sijui anafikiria nini.
Mahrez namkubali sana,kwasababu jamaa anacheza kama rooben style yake. Ata yeye alishasema anapenda sana ushmbuliaji wa rooben na messi . yani fake shots, na ku cut-in alaf kupiga mzungusho.
Ila akikaa sawa jamaa tutakuwa tumekula bingo sana.
Kwa sababu bado tunahitaji mtu wakuzigasi beki sana na kuzipenya ama kushot kutokana na timu nyingi kupaki basi tunaposhambulia.
Ningefurahi sana kama Zinchenko angeendelea kucheza kama beki wa kushoto,dogo anaelekea kuwa LB mzuri sana kama atapata mechi za kutosha na kama atakuwa "injury free"...Naona tetesi za kumtaka felix .
Au namba tisa yoyote yenye njaa ya magoli,tofauti kdg na jesus wakati mwingine anaonyesha kbisa ajakomaa kiasi fulani.
Na kwa sasa kupata namba tisa yenyee sio mchezo. Timu kama barca wanatafuta namb tisa.
Madrid nao wanatafuta.
Man u pia wanatafut na wengine kama juve na bayern.
Uzuri tu city inamvuto kwa wachezaji wengi.
Na kwa attacking midfield wakusaidiana na KDB naona yule bruno fernandes atafaa nimeona clip zake ni mzuri.
Otamendi nimeona wanamtaka valencia,danilo nae anasepa.
Kompany atapumzika na yeye umri umeenda.
Aguero anakama misimu miwili mitatu pamoja na silva.
Wakati huo damu changa kama garcia itanoga zaidi.
Wakati huo pia zinchenko ni kiungk mshambuliaji mzuri vyakutosha.
Hilo swali utajiuliza tena saa chache zijazo90+ points for liverpool and still no EPL
Uo ni kweli.Tatizo la Sane ni kwamba ana "arrogance" fulani hivi,pia ni mvivu, ukitaka kuona haya mchunguze Sane akipigiwa mpira mrefu au akipoteza mpira reaction yake inavyokua...
Kipaji anacho hilo halina ubishi,ila hiyo tabia yake itakuja kumcost career yake..!
Hakuna kocha anayeweza kufanya kazi na mchezaji mvivu na anayejisikia..!
Apo kwa kiungo mkabaji ndo mtihan unapokujaaaa.Ningefurahi sana kama Zinchenko angeendelea kucheza kama beki wa kushoto,dogo anaelekea kuwa LB mzuri sana kama atapata mechi za kutosha na kama atakuwa "injury free"...
Kuhusu namba tisa,kwakweli siku hizi soko la namba tisa halisi limekua gumu sana...
Ila tuna dogo tulimuuza kwa mkopo,anaitwa Lucas Nmecha,kama tukimtengeneza vizuri atakuja kuwa mshambuliaji mzuri sana,Ila hili linategemea na mipango ya Guardiola..!
Kuhusu Joao Felix,mimi naona dogo yupo "overrated" sana,sioni kama ana cha kuongeza katika timu yetu,tutapigwa pesa tu..!
Kuhusu Bruno Fernandes,huyu siamini kama kweli tulikuwa na uhitaji wa huduma yake,as long as KDB yupo fit hatumuhitaji Bruno Fernandes, ila nafikiri ni uoga wa benchi la ufundi kuhusu majeruhi ya KDB ndio inatusukuma kutaka kumnunua huyu Mreno,lakini nikubali tu kuwa jamaa ni BONGE la mchezaji..!
Chief,mimi nafikiri dirisha lijalo la usajili tungewekeza nguvu zetu katika kupata wachezaji wawili muhimu katika nafasi zifuatazo:
1) Kiungo mkabaji, tutafute kiungo mkabaji wa kueleweka, tusipopata mchezaji wa kueleweka kucheza hii nafasi,hakika itatugharimu sana msimu ujao..!
Kwa soko la usajili lilivyo nashindwa hata kusuggest ni mchezaji gani wa kumsajili katika hii nafasi..!
2) Beki ya kulia, hivi karibuni nimekuwa na mashaka sana na kiwango cha Kyle Walker, isajiliwe beki namba mbili ya kueleweka kwaajili ya kumsaidia huyu muhuni wa Kiingereza,tungempata Wan Bissaka kutoka Crystal Palace hakika tungekuwa tumeramba dume..!
Hakuna kitakachotokea zaidi ya city kuchukua ubingwa.Hilo swali utajiuliza tena saa chache zijazo
Bado unaamini Moira hudundaMpira hudunda na sometimes matokeo ya mechi hushangaza
Leo ndo mtathibitishaTutathibitisha hii kauli jumapili ambayo ni keshokutwa
Zinchenko namkubali sana anajua kucheza na winger wake pia anaziona sana midfield na anaju kucheza nao.Ningefurahi sana kama Zinchenko angeendelea kucheza kama beki wa kushoto,dogo anaelekea kuwa LB mzuri sana kama atapata mechi za kutosha na kama atakuwa "injury free"...
Kuhusu namba tisa,kwakweli siku hizi soko la namba tisa halisi limekua gumu sana...
Ila tuna dogo tulimuuza kwa mkopo,anaitwa Lucas Nmecha,kama tukimtengeneza vizuri atakuja kuwa mshambuliaji mzuri sana,Ila hili linategemea na mipango ya Guardiola..!
Kuhusu Joao Felix,mimi naona dogo yupo "overrated" sana,sioni kama ana cha kuongeza katika timu yetu,tutapigwa pesa tu..!
Kuhusu Bruno Fernandes,huyu siamini kama kweli tulikuwa na uhitaji wa huduma yake,as long as KDB yupo fit hatumuhitaji Bruno Fernandes, ila nafikiri ni uoga wa benchi la ufundi kuhusu majeruhi ya KDB ndio inatusukuma kutaka kumnunua huyu Mreno,lakini nikubali tu kuwa jamaa ni BONGE la mchezaji..!
Chief,mimi nafikiri dirisha lijalo la usajili tungewekeza nguvu zetu katika kupata wachezaji wawili muhimu katika nafasi zifuatazo:
1) Kiungo mkabaji, tutafute kiungo mkabaji wa kueleweka, tusipopata mchezaji wa kueleweka kucheza hii nafasi,hakika itatugharimu sana msimu ujao..!
Kwa soko la usajili lilivyo nashindwa hata kusuggest ni mchezaji gani wa kumsajili katika hii nafasi..!
2) Beki ya kulia, hivi karibuni nimekuwa na mashaka sana na kiwango cha Kyle Walker, isajiliwe beki namba mbili ya kueleweka kwaajili ya kumsaidia huyu muhuni wa Kiingereza,tungempata Wan Bissaka kutoka Crystal Palace hakika tungekuwa tumeramba dume..!
Chereko chereko yamekuwa.Leo ndo mtathibitisha
Hawakuona umuhim wa kushinda mechi zote.De bryune alisema tumepanga kushinda mechi zote km liver wakichukua tutawapongeza..hapo wakati liver wanaongoza na mechi tulikua sawa
Kevin hawez kuanza labda Bernardo na mahrez waanzeView attachment 1095115
Kama naiona hii vileee