The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Liverpool wamehitahidi kutukimbiza mpaka siku ya mwisho.
Hope next season haitakuwa hivi
 
Tatizo la Sane ni kwamba ana "arrogance" fulani hivi,pia ni mvivu, ukitaka kuona haya mchunguze Sane akipigiwa mpira mrefu au akipoteza mpira reaction yake inavyokua...
Kipaji anacho hilo halina ubishi,ila hiyo tabia yake itakuja kumcost career yake..!
Hakuna kocha anayeweza kufanya kazi na mchezaji mvivu na anayejisikia..!
 
Ningefurahi sana kama Zinchenko angeendelea kucheza kama beki wa kushoto,dogo anaelekea kuwa LB mzuri sana kama atapata mechi za kutosha na kama atakuwa "injury free"...
Kuhusu namba tisa,kwakweli siku hizi soko la namba tisa halisi limekua gumu sana...
Ila tuna dogo tulimuuza kwa mkopo,anaitwa Lucas Nmecha,kama tukimtengeneza vizuri atakuja kuwa mshambuliaji mzuri sana,Ila hili linategemea na mipango ya Guardiola..!
Kuhusu Joao Felix,mimi naona dogo yupo "overrated" sana,sioni kama ana cha kuongeza katika timu yetu,tutapigwa pesa tu..!
Kuhusu Bruno Fernandes,huyu siamini kama kweli tulikuwa na uhitaji wa huduma yake,as long as KDB yupo fit hatumuhitaji Bruno Fernandes, ila nafikiri ni uoga wa benchi la ufundi kuhusu majeruhi ya KDB ndio inatusukuma kutaka kumnunua huyu Mreno,lakini nikubali tu kuwa jamaa ni BONGE la mchezaji..!
Chief,mimi nafikiri dirisha lijalo la usajili tungewekeza nguvu zetu katika kupata wachezaji wawili muhimu katika nafasi zifuatazo:
1) Kiungo mkabaji, tutafute kiungo mkabaji wa kueleweka, tusipopata mchezaji wa kueleweka kucheza hii nafasi,hakika itatugharimu sana msimu ujao..!
Kwa soko la usajili lilivyo nashindwa hata kusuggest ni mchezaji gani wa kumsajili katika hii nafasi..!
2) Beki ya kulia, hivi karibuni nimekuwa na mashaka sana na kiwango cha Kyle Walker, isajiliwe beki namba mbili ya kueleweka kwaajili ya kumsaidia huyu muhuni wa Kiingereza,tungempata Wan Bissaka kutoka Crystal Palace hakika tungekuwa tumeramba dume..!
 
Uo ni kweli.
Ajifunze kwa benardo
 
Apo kwa kiungo mkabaji ndo mtihan unapokujaaaa.
 
Hilo swali utajiuliza tena saa chache zijazo
Hakuna kitakachotokea zaidi ya city kuchukua ubingwa.
Mlipoteza points saba juu kwa draw zenu japo mmefungwa mechi chache kutuzidi ila mmepoteza points nyingi pia.
 
Zinchenko namkubali sana anajua kucheza na winger wake pia anaziona sana midfield na anaju kucheza nao.
Uzuri ile namba ishamkubali,na yeye kama kashaikubali.
Kwa uchezaji wa zinchenko ata chilwell anasubiri
 
De bryune alisema tumepanga kushinda mechi zote km liver wakichukua tutawapongeza..hapo wakati liver wanaongoza na mechi tulikua sawa
 
De bryune alisema tumepanga kushinda mechi zote km liver wakichukua tutawapongeza..hapo wakati liver wanaongoza na mechi tulikua sawa
Hawakuona umuhim wa kushinda mechi zote.
Wao walirukaruka na man u wakapoteza point. Na draw zingine za kutosha.
Ila nawapongeza kwakutukimbiza mpaka umbali huu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…