interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Target ya matajiri wa City siyo epl bali ni UEFA Champions league, endelea kuteseka sana na Pep Kipara wako[emoji3]Wew chukua UEFA yako kila mmoja apige hesabu zake.
Pep atawanyoosha hapo uingereza.
Mimi nina Kombe wewe una maneno mingi, endelea tu hivyo sisi mbele kwa mbele.Hana lolote zaidi ya mahaba yako tu, Kocha yupi aliyeilamikia VAR sana ktk UEFA zaidi ya PEP KIPARA[emoji848][emoji23]
Mahaba ni ugonjwa mbaya sana kwa anayejielewa kiakili[emoji1787]
mkosaji hakosi maneno,Target ya matajiri wa City siyo epl bali ni UEFA Champions league, endelea kuteseka sana na Pep Kipara wako[emoji3]
Mimi nina Kombe wewe una maneno mingi, endelea tu hivyo sisi mbele kwa mbele.
Ndiyo nakubali tangia aje katumia zaidi ya £500 lakini na vikombe unaviona.PEP simjui zaidi ya mapesa mengi tu yaliyomuweka pale City, timu ipi imetumia pesa nyingi sana kusajili na kununua wachezaji wengi zaidi ya City pale UK tangu aje huyo Pep Kipara[emoji848][emoji41]
Kama guadiola asingekuwepo city timu za england zisinge improve kiasi hiki.
Heshima kubwa kwa guadiola kiasi kwmba timu za epl zinashiriki fainali zote mbili za ulaya.
Next season naona epl ikiwa ngumu zaidi.
Timu kama arsenal,chelsea, ziki improve zaidi
Target ya matajiri wa City siyo epl bali ni UEFA Champions league, endelea kuteseka sana na Pep Kipara wako[emoji3]
Sawa Haji Manara wa City[emoji28][emoji1]mkosaji hakosi maneno,
Huyu jamaa anaona kama kaweka kwapan UEFA, kasahau mungu ni wa wote.mkosaji hakosi maneno,
Hahahhaha .Hapo Chelsea itoe tafadhali maana hakuna ilichoimprove zaidi ya kujituma kwa wachezaji wake wenyewe kwa mpira wa kipumbavu wa Sariball
Huyu jamaa anaona kama kaweka kwapan UEFA, kasahau mungu ni wa wote.
Kwa mahela yenu hayo wala sina tatizo mbona mtabeba tu hilo kombe la UEFA tena kesho tu[emoji23]
Thubutuuu... Tangu Abrahamovich azinguliwe kisiasa naona hadi moyo wake umevunjika kujikita kimapenzi hasa na Chelsea kuliko enzi zile akihamasika kumtetea Schevichenco awe mchezaji ktk 1st 11 squard ya Chelsea.Hahahhaha .
Chelsea wana kikosi kizuri kocha mtihan labda watambadilisha
Ahsante sana mkuuHongeren sana wakuu
Muda upo tu kiongoz, ila huu mwaka tulikosea kidogo sana.Nadhan sasa ni muda wa kuivizia uefa
Unafikir tofaut ya Liverpool na City kwenye matumiz ya hela ni kubwa?
Kinachowapa faraja ni historia zenu za kugugo ndiyo maana mnavimba.