The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kama guadiola asingekuwepo city timu za england zisinge improve kiasi hiki.
Heshima kubwa kwa guadiola kiasi kwmba timu za epl zinashiriki fainali zote mbili za ulaya.
Next season naona epl ikiwa ngumu zaidi.
Timu kama arsenal,chelsea, ziki improve zaidi
 
PEP simjui zaidi ya mapesa mengi tu yaliyomuweka pale City, timu ipi imetumia pesa nyingi sana kusajili na kununua wachezaji wengi zaidi ya City pale UK tangu aje huyo Pep Kipara[emoji848][emoji41]
Ndiyo nakubali tangia aje katumia zaidi ya £500 lakini na vikombe unaviona.

Klopp katumia zaidi ya £450 lakin ulizia ana kikombe kipi kama sio cha kunywea chai tu.
 
Hapo Chelsea itoe tafadhali maana hakuna ilichoimprove zaidi ya kujituma kwa wachezaji wake wenyewe kwa mpira wa kipumbavu wa Sariball
Kama guadiola asingekuwepo city timu za england zisinge improve kiasi hiki.
Heshima kubwa kwa guadiola kiasi kwmba timu za epl zinashiriki fainali zote mbili za ulaya.
Next season naona epl ikiwa ngumu zaidi.
Timu kama arsenal,chelsea, ziki improve zaidi
 
Hahahhaha .
Chelsea wana kikosi kizuri kocha mtihan labda watambadilisha
Thubutuuu... Tangu Abrahamovich azinguliwe kisiasa naona hadi moyo wake umevunjika kujikita kimapenzi hasa na Chelsea kuliko enzi zile akihamasika kumtetea Schevichenco awe mchezaji ktk 1st 11 squard ya Chelsea.
 
Sina shida kabisa na City ila tatizo ni hilo libaguzi lenu kuu la rangi "Pep Kipara"

Goswe ananielewa vzr sema labda ww ndiwe hunielewi vzr tu.
Unafikir tofaut ya Liverpool na City kwenye matumiz ya hela ni kubwa?

Kinachowapa faraja ni historia zenu za kugugo ndiyo maana mnavimba.
 
Back
Top Bottom