The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu City ameeka vichwa makini nyuma ya Pep pale, wanajua nini wanafanya sio kama Chelsea au Man U. Mimi walinamaliza kabisa pale walipokwenda kumsajili Bernado Silva kimya kimya huku chelsea wakipambana kwa vurugu Kumbeba Bakayoko.
Hahaha ni kweli .
Jamaa wanafatilia sana sana.
Na bernado alitusumbua tulipocheza na monaco.
Ila chelsea walimuona bakayoko.
 
Hahaha ni kweli .
Jamaa wanafatilia sana sana.
Na bernado alitusumbua tulipocheza na monaco.
Ila chelsea walimuona bakayoko.

Sasa hiyo ndio tafauti ya timu yenye uwongozi makini na uongozi wa ovyo. wanaishia kutimua makocha kila siku kumbe wachawi ni wao wenyewe. Na tatizo kubwa linakuja pale mashabiki wao fikra zao zinafanana na viongozi wao.
 
Sasa hiyo ndio tafauti ya timu yenye uwongozi makini na uongozi wa ovyo. wanaishia kutimua makocha kila siku kumbe wachawi ni wao wenyewe. Na tatizo kubwa linakuja pale mashabiki wao fikra zao zinafanana na viongozi wao.
Man utd ina bili kubwa ya mshahara kwa mwaka kuzidi psg,bayern,liverpool,chelsea,arsenal. Hadi spurs.
Ila sasa ni utumbo.

Wachezaji wao ni wakawaida na wanawalipa hela nyingi sana.
Club iliendeshwa kwa hasara zaidi ya £160m last year.

While city mwaka wanne wakipata faida japo kuwa bili ya mshahara ni kubwa.
 

Poor transfer policy ndio tatizo kubwa linazozisumbua top team za kingereza. kama wangekua makini kusingekua na sababu yoyote yao wao kudominate Europe. Mana nyenzo kuu ambayo ni Pesa wanayo.
 
Unataka kukumbia uhalisia, wew unaangalia mpira na wenzako pia unakaa vijiwen kujadili mpira, kutokuhusika kwako na ubaguz haumaanish Afrika tumekomboka.


Sis ni wabaguzi kuzid ata PEP.

Anyway tuache haya mambo tumsifie Pep kwa kaz yake, UEFA isikufanye ukaanza kumbeza Huyu coach.
 
Usinilazimishe nipende nisichokipenda Pep ni nani hasa hadi apendwe na kila Mtu?

Baki na Pep wako nami nibaki nilivyo[emoji851]
 
Ederson and mane have the same assists this season.
Epl 1 all comp... 2
Amazing
 
Kama wakitufungia mwka huu na arsenal akachukua europa man u wataingia nafasi yetu uefa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…