George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Do go akitaka kuondoka...Sidhani kama pep atamtoa.
Yaani Pep atamtoa vizuri tu..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do go akitaka kuondoka...Sidhani kama pep atamtoa.
Ile game ilimuuma sana.Wadau wanadai hiyo ni moja ya mechi ya kumbukumbuku yake ndani ya city.
Hiyo ni tatoo ni copy ya mechi ya Man city vs Monaco UEFA champions.
Ni mchezaji mzuri...View attachment 1100731
Chilwell atapendeza zaidi.
Lete ushahidi kuhusu ubanguzi wa PepSimo kabisa ktk dhambi za kijinga kama hizo 7bu naelewa hakuna aliyejiumba na awezaye kuumba kiumbe chochote hai duniani zaidi ya Mungu pekee, so usinishirikishe ktk yasiyonihusu lkn nilichokinena mimi nina ushahidi nacho 100% kuhusu ubaguzi wa rangi hasa kwa huyo Pep.
Kuwa mkweli ili uwe huru na amani rohoni mwako Kaka.
Pep anauwezo Mkubwa wa ukufunzi.Kwa hii chuma aliyotupia rodri leo sio mchezo.
Kweli anaonyesha anastahili kuja city.
Io sijaicheki ngoja nitaicheki niioneVipi ushaangalia documentary Ya :All or Nothing"ya Etihad Man city...?
Pep anauwezo Mkubwa wa ukufunzi.
Duu leo ngoja tumuone jesus