kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Ngoja nikamcheki YouTubeHuyo uhakika mkuu lazima atue Etihad, dogo leo kufanya maajabu huko kuwarudisha tiko tiko mchezoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikamcheki YouTubeHuyo uhakika mkuu lazima atue Etihad, dogo leo kufanya maajabu huko kuwarudisha tiko tiko mchezoni
Na sisi Man U tunamtakaHuyo uhakika mkuu lazima atue Etihad, dogo leo kufanya maajabu huko kuwarudisha tiko tiko mchezoni
Ingetakiwa wale Wolves ndy wapiteJamani hii fainali, eti 5 - 0
Pitia mzee hutojutia matumizi ya bando lakoNgoja nikamcheki YouTube
Nikweli mkuu wale wangekazaIngetakiwa wale Wolves ndy wapite
Hawezi kukubali kuja kwenuNa sisi Man U tunamtaka
Kwani ligi si ilishaisha,au huu ni mchezo wa kirafiki.....
Tutaona. Hlf nyie ni nin hamna mana kila kitu mnacho! Kutusumbua tu timu pinzaniHawezi kukubali kuja kwenu
Nilichoka kuzihesabuFA CUP FINAL
Full time
Manchester City 6 vs 0 Watford
D. Silva
R. Sterling
KDB
G. Jesus
R. Sterling
R. Sterling
Pale kati anatafutwa mtu wa kumreplace Fernandinho mkuuTutaona. Hlf nyie ni nin hamna mana kila kitu mnacho! Kutusumbua tu timu pinzani
Mwenyewe nimechoka kutyp mkuu 😀Nilichoka kuzihesabu
Yupo yule rodri wa atletico.Pale kati anatafutwa mtu wa kumreplace Fernandinho mkuu
Apa nimeulizwa wewe timu yako mbona unaniambia inachukua kombe kila siku hahahaMwenyewe nimechoka kutyp mkuu [emoji3]
New history haijawah kutokea kuchukua kombe tatu za ndani zotePep kakusanya vyote dadeki.