goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Kuna jamaa wa utd alitaka kuhama alaf akachagua l'pool haahahha.Idadi ya watu wanaoichukia City inazidi kuongezeka sambamba na wale wanaoipenda..!
Nikaona jinsi gan hatupendwi.
Maana utd na l'pool ni wahasimu ila sasa uhasimu umehamia kwa city