Kuna jamaa wa utd alitaka kuhama alaf akachagua l'pool haahahha.Idadi ya watu wanaoichukia City inazidi kuongezeka sambamba na wale wanaoipenda..!
Ndio huyo tulikua tunamuongeleaYupo yule rodri wa atletico.
Dili lipo mezani
Umeulizwa na shem nini?Apa nimeulizwa wewe timu yako mbona unaniambia inachukua kombe kila siku hahaha
Nimzuri wanasema anastail ya buscet.Ndio huyo tulikua tunamuongelea
Hahaha shem wako anashangaa kwelUmeulizwa na shem nini?
Mzee wa matukio uwepo wako unakosekana sana humu.MANCHESTER CITY FA CUP WINNER 2019
thanks lord
100 years #makehistory
cityzen chairman am here
#thankspepβ‘β‘
Nikweli yupo vizuri sana atafaaNimzuri wanasema anastail ya buscet.
Akili akili nimemchek utube
Fanya mpango umnunulie jezi ya City sasaHahaha shem wako anashangaa kwel
HahahaFanya mpango umnunulie jezi ya City sasa
Msimu huu liverpool alicheezea sana.Nikweli yupo vizuri sana atafaa
πππ safi sanaHahaha
Kwenye mpira anamjua messi tu.
Ntamtafutia zote mbili.
Unakumbuka swali lako la 2009.Mhh..hii thread hivi itadumu kweli?