Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Surely wajipangeWakuu nadhani liverpool tunaenda kukutana nae,
Hahaha iki ni kitukoo
1884Hivi man city imeanzishwa lini?
Hivi kwanini Stones alikuwa hapati namba hivi karibuni..?Stones nae bado kdg iwe 8
Guadiola akamkabidhi dimba.
Mpira uliopigwa leo ni mkubwa sana.
Uzuri wa jesus ni kwmba beki zinamdharau alafu anawafunga.
Aguero wanamuogopa sana na wanapaki basi la kutosha.
Mimi najiuliza wametumia kanuni gani kutukutanisha na Liverpool ngao ya jamii..?Wakuu nadhani liverpool tunaenda kukutana nae,
Huyo Mzee ni akili kubwa mno..!
Kweli kabisa mkuu, nadhani guardiola na yeye hajafurahi sanaJamani mi pamoja na kukusanya hivi vikombe moyo wangu bado unamaumivu ya kukosa UCL.
Alipumzika.Hivi kwanini Stones alikuwa hapati namba hivi karibuni..?
Jamaa ndio beki ya kati ninayemkubali ndani ya Man City..!
Hahahha sasa hao mabingwa wawili wote ni city.Mimi najiuliza wametumia kanuni gani kutukutanisha na Liverpool ngao ya jamii..?
Maana nijuavyo mimi ngao ya jamii huwa inamkutanisha bingwa wa Ligi kuu na bingwa wa FA..!
Kwanini Liverpool na sio Watford..?
UCL pep anaililia.Jamani mi pamoja na kukusanya hivi vikombe moyo wangu bado unamaumivu ya kukosa UCL.
Nikweli.Kweli kabisa mkuu, nadhani guardiola na yeye hajafurahi sana
Ndio maana hata ushangiliaji wa yale magori, ukimwangalia vzuri utagundua, lile kombe kwake ni la kawaida mno, hakuwa na morali kivile , lengo lake ilikuwa uefa,
But, pamoja na yote hayo kaacha historia ya kubeba makombe ya ndani yote
Nikweli bingwa wa ligi anakutana na bingwa wa FA lakini ikitokea timu moja ikishinda epl na fa kama City tulivyofanya basi inabidi ngao ya jamii ikitane na mtu wa pili kwenye msimamo wa ligi......Mimi najiuliza wametumia kanuni gani kutukutanisha na Liverpool ngao ya jamii..?
Maana nijuavyo mimi ngao ya jamii huwa inamkutanisha bingwa wa Ligi kuu na bingwa wa FA..!
Kwanini Liverpool na sio Watford..?
That wil be tough gameNikweli bingwa wa ligi anakutana na bingwa wa FA lakini ikitokea timu moja ikishinda epl na fa kama City tulivyofanya basi inabidi ngao ya jamii ikitane na mtu wa pili kwenye msimamo wa ligi......
Ipo vizuri,Io sijaicheki ngoja nitaicheki niione