Bernado anachukua upande wa david silva tayari miaka 34 ,
Usisahau david silva hakabi kama bernado silvaKumuweka Bernado pale kati inatakiwa wawepo tayari kabla viungo wawili wenye vipaji vya kukaba. Kuweka kiungo anaeweza kukaba mmoja tu ni suicide,
Bernado hawezi kukaba (hana kipaji cha kukaba)
Bernardo hawezi kukaba?Kumuweka Bernado pale kati inatakiwa wawepo tayari kabla viungo wawili wenye vipaji vya kukaba. Kuweka kiungo anaeweza kukaba mmoja tu ni suicide,
Bernado hawezi kukaba (hana kipaji cha kukaba)
Usisahau david silva hakabi kama bernado silva
Bernardo hawezi kukaba?
Hauko serious
Hujanielewa brazaaa.Huyo Bernado kama wewe kocha unaweza kumuweka namba 6?
Tuanzie hapo
Hujanielewa brazaaa.
David silva hachezi namba 6 unaniangusha
B Silva ni attacking midfielder siyo holding midfielder. Lakin siyo kweli kwamba hakabiHuyo Bernado kama wewe kocha unaweza kumuweka namba 6?
Tuanzie hapo
B Silva ni attacking midfielder siyo holding midfielder. Lakin siyo kweli kwamba hakabi
Hii nafasi bwana inataka hata mchezaji naye awe physical pia. B Silva hayupo much physical. Yaan ni kama Mahrez[emoji16].Anaejua kukaba inamaana ana uwezo wa kucheza namba 6
Sasa hiki kitu sio kwa huyu Bernado
Point niliyokuwa nataka kusema hapo swali ni kwamba pale katikati inatakiwa wawepo watu kuanzia wawili wanaojua kukaba sasa na kiungo hasa huwa ni namba sita na namba nane ambao wote huwa wanajua kukaba
Nachotaka then kumaanisha pia ni kwamba huwezi kuweka katikati mtu mmoja tu anaeweza kukaba , lazima utaweka wawili sasa katika hawa wawili ambao lazima uwaweke Bernado sio
DeBruyne anao uwezo wa kucheza namba 6 sababu kukaba anajua, ila Bernado hapana
Hii nafasi bwana inataka hata mchezaji naye awe physical pia. B Silva hayupo much physical. Yaan ni kama Mahrez[emoji16].
They are much technical than they are physical.
B S yupo technical sana lakin linapokuja swala la kukaba, au kublock mashambulizi naona hawezi akafanya vizuri.
Man city holding midfielders ni wawili tu.
Ilkay Gundogan na Fernandinho.
Hata kDB hawezi lakini sijui naye utaniambia hakabi?
Tangu uangalie mpira(mechi za city) ushamkuta KDB anacheza namba 6?[emoji16][emoji16]Kwa nilivyomcheki DeBruyne namba sita anapiga fresh tu, KDB anajua kukaba
Tangu uangalie mpira(mechi za city) ushamkuta KDB anacheza namba 6?[emoji16][emoji16]
Mi nimeisha kuona tu mpaka J Stones full back anawekwa namba6 wakati KDB yupo.
Kwanini asicheze namba6 c anajua kukaba?
Kwa nilivyomcheki DeBruyne namba sita anapiga fresh tu, KDB anajua kukaba
View attachment 1132448
View attachment 1132449
Huyu ndio namba sita inayokuja. city hakuna mchezaji asiejua kukaba kama KDB.
Sawa nilikuwa sijakuelewaHahahahaha labda uangaliaji tunatofautiana
Wewe mwenzangu umeona Bernado anajua kukaba kuliko KDB hahahahah
Pale nilisema kama inatokea 6 wote wamejeruhiwa (wote wa starting lineup na benchi) KDB anaweza kupiga 6 fresh kabisa
Kama sijasahau kuna kipindi Wayne Rooney alikuwa anachezeshwa sita pale Utd ilihali Rooney ni mshambuliaji