The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bernado anachukua upande wa david silva tayari miaka 34 ,

Kumuweka Bernado pale kati inatakiwa wawepo tayari kabla viungo wawili wenye vipaji vya kukaba. Kuweka kiungo anaeweza kukaba mmoja tu ni suicide,

Bernado hawezi kukaba (hana kipaji cha kukaba)
 
Kumuweka Bernado pale kati inatakiwa wawepo tayari kabla viungo wawili wenye vipaji vya kukaba. Kuweka kiungo anaeweza kukaba mmoja tu ni suicide,

Bernado hawezi kukaba (hana kipaji cha kukaba)
Usisahau david silva hakabi kama bernado silva
 
Txiki ameonekana italy inasemekana ameenda kufanya mazungumzo live kuhusu kolibaly
 
Kumuweka Bernado pale kati inatakiwa wawepo tayari kabla viungo wawili wenye vipaji vya kukaba. Kuweka kiungo anaeweza kukaba mmoja tu ni suicide,

Bernado hawezi kukaba (hana kipaji cha kukaba)
Bernardo hawezi kukaba?
Hauko serious
 
Usisahau david silva hakabi kama bernado silva

Hamna kitu kama hicho mkuu

Bernado anaweza kuwa sawa anajituma lakini kujituma kinatakiwa kwende at par na kipaji

Kumalizia tackles ni kipaji sio nguvu au juhudi. David Silva nimemcheki kwa miaka mingi sana, yule kukaba anajua so huwezi mfananisha na Bernado
 
B Silva ni attacking midfielder siyo holding midfielder. Lakin siyo kweli kwamba hakabi

Anaejua kukaba inamaana ana uwezo wa kucheza namba 6

Sasa hiki kitu sio kwa huyu Bernado

Point niliyokuwa nataka kusema hapo swali ni kwamba pale katikati inatakiwa wawepo watu kuanzia wawili wanaojua kukaba sasa na kiungo hasa huwa ni namba sita na namba nane ambao wote huwa wanajua kukaba

Nachotaka then kumaanisha pia ni kwamba huwezi kuweka katikati mtu mmoja tu anaeweza kukaba , lazima utaweka wawili sasa katika hawa wawili ambao lazima uwaweke Bernado sio

DeBruyne anao uwezo wa kucheza namba 6 sababu kukaba anajua, ila Bernado hapana
 
Hii nafasi bwana inataka hata mchezaji naye awe physical pia. B Silva hayupo much physical. Yaan ni kama Mahrez[emoji16].

They are much technical than they are physical.
B S yupo technical sana lakin linapokuja swala la kukaba, au kublock mashambulizi naona hawezi akafanya vizuri.

Man city holding midfielders ni wawili tu.
Ilkay Gundogan na Fernandinho.
Hata kDB hawezi lakini sijui naye utaniambia hakabi?
 
Kwa nilivyomcheki DeBruyne namba sita anapiga fresh tu, KDB anajua kukaba
 
Kwa nilivyomcheki DeBruyne namba sita anapiga fresh tu, KDB anajua kukaba
Tangu uangalie mpira(mechi za city) ushamkuta KDB anacheza namba 6?[emoji16][emoji16]
Mi nimeisha kuona tu mpaka J Stones full back anawekwa namba6 wakati KDB yupo.
Kwanini asicheze namba6 c anajua kukaba?
 
Hiyo itakuwa mismanagement ya human resources, hata ukiingia sokoni sasa hivi kwa nafasi za viungo wengi ambao itakuwa wamejaa na available sana ni hiyo namba 6

Ujue namba 6 hata mshahara sio fair akawa sawa na namba 9

Sasa DeBruyne anavyojua kushambulia halafu umweke namba 6 sehemu ya mtu ambae anatakiwa kuhold, hapo unAkuwa unatumia rasilimali watu vibaya
 
Kwa nilivyomcheki DeBruyne namba sita anapiga fresh tu, KDB anajua kukaba
FB_IMG_15610284044751640.jpeg

FB_IMG_15609192408538689.jpeg

Huyu ndio namba sita inayokuja. city hakuna mchezaji asiejua kukaba kama KDB.
 
Txiki Begiristain: “His improvement since joining tells you everything you need to know about his attitude and ability. Young, hungry and already an established international, he fits perfectly into our long-term strategy. We are delighted he wants to stay.”

“Zinchenko has shown over the past two seasons what a superb talent he is. Not only does he have a wonderful first touch and left-foot, he is a player completely focused on becoming the best footballer he can be...”

Oleksandr Zinchenko: “This season shows we are built for success. It’s been amazing to be involved in such a historic campaign and I’ll never forget it. But I am now completely focused on the coming years and I know more good times are around the corner.”

Oleksandr Zinchenko on his new contract: “It’s difficult to express how happy I am to sign this deal. This club offers players everything they need to improve and develop, so being here for five more years is an honour...”
 
Wachezaji wote watakaogombania namba wameongezewa mikataba.
Ila huyu sane peke yake ndo anawakati mgumu kifamilia .
 
The relationship between Leroy Sane’s girlfriend, Candice Brook, and the player’s mother is ‘not the best’. His mother would be keen on him returning to Germany, while his girlfriend isn’t so keen to give up on life in England. [@BILD_Sport via @Sport_Witness]

The situation around who represents Sané is ‘mysterious’. His mother, Regina Weber-Sané, negotiated his move to Manchester City in 2016. The agent Jürgen Milewski was brought in to help, and now Sane’s father Souleyman works with him. [@BILD_Sport via@Sport_Witness]

The ‘poker’ between Bayern Munich and Manchester City over Leroy Sané is entering the ‘hot phase’. There have been ‘no concrete talks’ with Sane’s entourage, suggesting things haven’t really got off the ground. [@BILD_Sport via @Sport_Witness]
 
View attachment 1132448

View attachment 1132449
Huyu ndio namba sita inayokuja. city hakuna mchezaji asiejua kukaba kama KDB.

Hahahahaha labda uangaliaji tunatofautiana

Wewe mwenzangu umeona Bernado anajua kukaba kuliko KDB hahahahah

Pale nilisema kama inatokea 6 wote wamejeruhiwa (wote wa starting lineup na benchi) KDB anaweza kupiga 6 fresh kabisa

Kama sijasahau kuna kipindi Wayne Rooney alikuwa anachezeshwa sita pale Utd ilihali Rooney ni mshambuliaji
 
Sawa nilikuwa sijakuelewa
 
Back
Top Bottom