Rooney alivyocheza 6 ilizaa matunda gani?Hahahahaha labda uangaliaji tunatofautiana
Wewe mwenzangu umeona Bernado anajua kukaba kuliko KDB hahahahah
Pale nilisema kama inatokea 6 wote wamejeruhiwa (wote wa starting lineup na benchi) KDB anaweza kupiga 6 fresh kabisa
Kama sijasahau kuna kipindi Wayne Rooney alikuwa anachezeshwa sita pale Utd ilihali Rooney ni mshambuliaji
Rooney alivyocheza 6 ilizaa matunda gani?
The citizen kiu na shauku yetu kwa sasa ni UCL maana kama ni EPL na vikombe vingine hatuoni wakutupokonya daima.
wenyewe ambaye ndiyo wewe sio?Mtashinda FA, Carabao, EPL na Charity Shield lakini UCL ina wenyewe
Mkuu aliyeanza kuchukua ucl alikuwa kama city hana uefa akachukua ,same apply to liverpool anaweza kushinda uefa moja baada ya miaka 14 na asiweze kuchukua epl miaka 35 ,footbal chochote kinawezekanaMtashinda FA, Carabao, EPL na Charity Shield lakini UCL ina wenyewe
QuadrupleMtashinda FA, Carabao, EPL na Charity Shield lakini UCL ina wenyewe
wenyewe ambaye ndiyo wewe sio?
Mkuu aliyeanza kuchukua ucl alikuwa kama city hana uefa akachukua ,same apply to liverpool anaweza kushinda uefa moja baada ya miaka 14 na asiweze kuchukua epl miaka 35 ,footbal chochote kinawezekana
unahamu ya kukalia ?EPL hata Leicester City anashinda
Cha ajabu ni kipi?
UCL mtaendelea kuiangalia mkiwa sitting room tu kama PSG
unahamu ya kukalia ?
Uefa hata Aston vila anazo 2 aina maajabu pia, n' forest anayo.EPL hata Leicester City anashinda
Cha ajabu ni kipi?
UCL mtaendelea kuiangalia mkiwa sitting room tu kama PSG
HahahahahahahahahhahahahahahahahahUefa hata Aston vila anazo 2 aina maajabu pia, n' forest anayo.
Ni kombe ambalo hata mtu alieshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake anachukua kwaio halina maajab sana.
Kwangu mm
1)ligi
2)uefa
Uefa ni kombe la yoyote yule kwanza huchezi na timu zote.
Mzee baba hawa jamaa wengine wanaosema l'pool ni timu bora ulaya wakati imeshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake kwa miaka 30,Hahahahahahahahahhahahahahahahahah